Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Jambo lolote ambalo lipo kinyume na katiba ya JMT ni void abnitio
Mgombea urais wa Tanzania anatakiwa kuteuliwa na chama chake mara baada ya bunge kuvunjwa. Hii ni kwa mujibu wa ibara ya 38 (1)(a) ya katiba ya JMT
Kwenye mkutano ule wa kufanya replacement ya Kinana. Mzee Jakaya alipindisha katiba ya JMT. Mchakato kwa ujumla ni void abnitio.
Aombe radhi watanzania kwa ujumla.