Rais Mstaafu Jakaya Kikwete apatiwa namba ya NIDA

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
Rais wa Awamu ya 4, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo Januari 18, 2020 amesajili laini yake kwa njia ya kieletroniki, huku akiwahasa Watanzania wengine kujitokeza kushiriki zoezi hilo, kwa kuwa mwisho ni Januari 20, 2020.

Rais wa Awamu ya 4, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo Januari 18, 2020 akisajili laini yake kwa njia ya Kieletroniki

Rais Mstaafu ameshiriki zoezi hilo leo ambapo amesema hatua ya kufanya hivyo ni kufuatia kuhimizwa na mfano aliouonesha Rais Dkt. John Pombe Magufuli alipofanya mwishoni mwa mwaka 2019.

Mpaka sasa bado siku 2 zoezi hili lifungwe.
 
Kisha taratiibu mfalme alianza kusikiliza sauti nadhifu ya yule dada wakwanza aliyesema kuwa anatamani aolewe na muoka mikate wa mfalme Kisha aliyaweka maneno hayo katika kitabu Cha kumbukumbu. Hakika muonekano wa mabinti hao ulikuwa wa kikiwa sana
 
mabinti gan tena mkuu wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikwete hufai, taabu zote za watanzania ni wewe! ulikuwa na kura ya VETO kumkataa huyu mtu wako!
 
Kumbe hatumii ttcl? Hadi Sasa Ni JPM na jk tu waliosajiri? Vipi kenge lugoba? Sijamwona akisajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…