Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akutana na aliyekuwa baba mwenye nyumba aliyokuwa amepanga wakati akiishi mkoani Singida

Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akutana na aliyekuwa baba mwenye nyumba aliyokuwa amepanga wakati akiishi mkoani Singida

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Baba mwenye nyumba huyo anaenda kwa Jina la Mzee Andrew na mkazi wa Singida

Mzee Kikwete na familia yake waliamua kumtembelea Mzee huyo ili kumjuliana hali na kukumbushana ya miaka mingi!

Ikumbukwe kuwa Mhesh Kikwete pia ni Mwenyekiti Mstaafu Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kabla ya kumkaribisha wadhifa huo Mhesh John Pombe Magufuli

FB_IMG_16057665150233909.jpg
 
Mzee rudi dar fastaa mambo yanataka kuharibika, eti wanataka kutupeleka ai si si - kisa uchaguzi - njoo tujadiliane namna ya kujichomoa.
Atawapigia simu tu,wakileta mashitaka pokeeni halafu tupieni kwenye pipa la taka.
 
Baba mwenye nyumba huyo anaenda kwa Jina la Mzee Andrew na mkazi wa Singida

Mzee Kikwete na familia yake waliamua kumtembelea Mzee huyo ili kujuliana hali na kukumbushana ya miaka mingi!

Ikumbukwe kuwa Mhesh Kikwete pia ni Mwenyekiti Mstaafu Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kabla ya kumkaribisha wadhifa huo Mhesh John Pombe Magufuli
Ikumbukwe pia Kikwete ni mwenyekiti mstaaafu.....Inahusiana nini na upangaji wa nyumba hiyo ambayo alipanga kabla ya kuwa mwenyekiti wa CCM! Ninatumai atamsaidia kuifanyia matengenezo.
 
Back
Top Bottom