Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Mazoezi ni muhimu ktk Maisha Yetu. Ndio siri ya maisha marefuBaba mwenye nyumba huyo anaenda kwa Jina la Mzee Andrew na mkazi wa Singida
Mzee Kikwete na familia yake waliamua kumtembelea Mzee huyo ili kujuliana hali na kukumbushana ya miaka mingi!
Atawapigia simu tu,wakileta mashitaka pokeeni halafu tupieni kwenye pipa la taka.Mzee rudi dar fastaa mambo yanataka kuharibika, eti wanataka kutupeleka ai si si - kisa uchaguzi - njoo tujadiliane namna ya kujichomoa.
The coolest President ever...I think followed by Mwalim
Ikumbukwe pia Kikwete ni mwenyekiti mstaaafu.....Inahusiana nini na upangaji wa nyumba hiyo ambayo alipanga kabla ya kuwa mwenyekiti wa CCM! Ninatumai atamsaidia kuifanyia matengenezo.Baba mwenye nyumba huyo anaenda kwa Jina la Mzee Andrew na mkazi wa Singida
Mzee Kikwete na familia yake waliamua kumtembelea Mzee huyo ili kujuliana hali na kukumbushana ya miaka mingi!
Ikumbukwe kuwa Mhesh Kikwete pia ni Mwenyekiti Mstaafu Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kabla ya kumkaribisha wadhifa huo Mhesh John Pombe Magufuli
Nenda kanye ww cheap politiki mstaafu afanye za niniCheap politics za CCM kama kawaida yao.
CCM na mitusi! Sasa umeleta nini jamvini?Nenda kanye ww cheap politiki mstaafu afanye za nini
Wazee wa Kila kitu kibayaCheap politics za CCM kama kawaida yao.