PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Vyandani tuwaachie Vibenten wakina Dogo janja.
Wa ndani mmezidi uchoyo ndo maanaWanaoa tuu vya nje
Yani kamzidi hata huyu aliyesweka 1.5T zetu.... dah!Huyu mzee kupenda kwake bata nakuwekeza rasilimal ktk mambo yakijingajinga ndiko kulikotufikisha hapa kama Taifa
acha kabisa ..ukiwa mmoja wapo hapo utachekwa mpaka na kuku" hata" shetani nae atafuta urafiki nawe ""maana ataona daahh huyu rafiki yangu sasa amevuka mipaka"" ameamua kuyaleta matatizo nyumbani kwake yeye Mwenyewe!!!
aghhh wale hawajali MZee...wameshakula kinyesi"" kila siku wanatukanwa na mashabiki zao huko insta..Kama huwa wanapita huku wakisoma hayo maelezo yako watajisikia vibaya sana kwa ujinga wao.
Ha ha ha, karai una kazi kweli kweli. Maandamano ya da'Mange vipi?Nenda wewe badala yake
Nasikia mond amepita apo mkuuHata aliyeolewa na alkiba Kenya anatafunwa vizuri tu sema hujui skendonzake.
Umejuaje?Vya ndani vinachosha akili,, embu mchek jokate alivyooooo hamna kitu mule
Mbona wa saizi hapendi lakini Trilion 1.5 hazijulikana zilipo?!Huyu mzee kupenda kwake bata nakuwekeza rasilimal ktk mambo yakijingajinga ndiko kulikotufikisha hapa kama Taifa
Ningekuwa mimi ndio wewe nisingeizunguzia hii habari kwa namna yoyote ile. You know what am saying?!Mfano mimi nanufaika na nini kwenye harusi hiyo?
Nafikiri hilo jambo no binafsi sana sio habari kubwa kama unavyotaka kutufanya tuamini.