Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kuhudhuria harusi ya Alikiba jijini Nairobi Kenya

Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kuhudhuria harusi ya Alikiba jijini Nairobi Kenya

acha kabisa ..ukiwa mmoja wapo hapo utachekwa mpaka na kuku" hata" shetani nae atafuta urafiki nawe ""maana ataona daahh huyu rafiki yangu sasa amevuka mipaka"" ameamua kuyaleta matatizo nyumbani kwake yeye Mwenyewe!!!

Kama huwa wanapita huku wakisoma hayo maelezo yako watajisikia vibaya sana kwa ujinga wao.
 
Kama huwa wanapita huku wakisoma hayo maelezo yako watajisikia vibaya sana kwa ujinga wao.
aghhh wale hawajali MZee...wameshakula kinyesi"" kila siku wanatukanwa na mashabiki zao huko insta..
likini ndio kwanza wanauchochea moto
 
"Miongoni mwa watu mashuhuri wanaotarajiwa kuhudhuria harusi hiyo ni Rais wa Awamu ya nne, Jakaya Kikwete na Ommy Dimpoz".?????????????????????????????????? hebu acheni kulinganisha mlima na kichuguu!!!!
 
Mfano mimi nanufaika na nini kwenye harusi hiyo?


Nafikiri hilo jambo no binafsi sana sio habari kubwa kama unavyotaka kutufanya tuamini.
Ningekuwa mimi ndio wewe nisingeizunguzia hii habari kwa namna yoyote ile. You know what am saying?!
 
Aoe Mombasa kwa raha zake! Tanzania mna chagua mno mitandao mara haloteli situmii, mara tigo situmii mara zanteli situmii!!!
 
Back
Top Bottom