Rais Mstaafu Kikwete acha 'Kuzunguka' mwambie tu Rais Samia kuwa 'Uchifu' si mzuri kwa sasa Tanzania

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Usiogope kwani kwa jinsi Mama anavyokukubali tokea ulipomtoa Zanzibar kwa Karume, ukampa Ulaji katika Bunge la Katiba na mwishoni ukamuombea 'Ulaji' kwa Hayati Rais Dkt. Magufuli ukimwambia kuwa hujapendezzwa na Kitendo chake cha Kuruhusu 'Uchifu' kurejea Tanzania wala hatomtosa Unaibu Uwaziri Mwanao Kipenzi Ridhiwani.

Na kilichotushangaza wengi na kuzidi kukuona kuwa una PhD ya Unafiki na Sanifu kwa Watanzania kwani kama ni Rais Samia kuanza Kuenzi 'Uchifu' alifanya hivyo Kitambo tu ila hukusema ila juzi ndiyo wenye Akili tunakushangaa Kuibuka nalo kana kwamba vile masikio yako hayakumsikia wakati ule.

Halafu si mlikuwa nae wote alipokuwa Ziarani nchini Marekani kwanini hamkunong'onezana tu kule tena mkiwa peke yenu huenda kwa hali ya Hewa Tamu ya Marekani na Bata la Kule Mama (Mheshimiwa) angekuelewa zaidi.

Acha Kutuchanganya Watanzania kwani tulishatosheka sana tu na ulivyotuchanganya mwaka 2005 haai 2015 kama Taifa (Nchi)

Nimemaliza.
 
Huyu mtu anachuki na waislam sijui walimfanya nini ? Kila mada akilita ukisoma kwa mtu mwenye akili unafahamu analokusudia ni kuwachafua viongozi walio kuwa waislam.
 
Usiogope kwani kwa jinsi Mama anavyokukubali tokea ulipomtoa Zanzibar kwa Karume, ukampa Ulaji katika Bunge la Katiba na mwishoni ukamuombea 'Ulaji' kwa Hayati Rais Dkt. Magufuli ukimwambia kuwa hujapendezzwa na Kitendo chake cha Kuruhusu 'Uchifu' kurejea Tanzania wala hatomtosa Unaibu Uwaziri Mwanao Kipenzi Ridhiwani.
Kwani broo uchifu sio mnzuri kweli au???
 
Sasa nimeanza kumwelewa yoga na ile story yake ya dark days 🤣

Born town Work
 
Waislam wameingiaje wakati hoja ni uchifu
Huyu na soma kila mada zake najua dhumuni lake especially linapo kuja swala la kiongozi ambaye MUISLAM ..... wewe huwezi kuelwa sababu unaowezo kuelewa nacho elewa mimi sababu wewe umuona hiyo MADA ni UCHIFU lkn deep inside lengo lake ni kudhalilisha .
 
Usiogope kwani kwa jinsi Mama anavyokukubali tokea ulipomtoa Zanzibar kwa Karume, ukampa Ulaji katika Bunge la Katiba na mwishoni ukamuombea 'Ulaji' kwa Hayati Rais Dkt. Magufuli ukimwambia kuwa hujapendezzwa na Kitendo chake cha Kuruhusu 'Uchifu' kurejea Tanzania wala hatomtosa Unaibu Uwaziri Mwanao Kipenzi Ridhiwani.
Umegusa kwenye mshono
 
Huyu mtu anachuki na waislam sijui walimfanya nini ? Kila mada akilita ukisoma kwa mtu mwenye akili unafahamu analokusudia ni kuwachafua viongozi walio kuwa waislam.
Acha maneno yako wewe kwani kaongea uongo?
 
Kwani broo uchifu sio mnzuri kweli au???
Mimi mwenyewe ni Mjukuu wa Chifu na najua jinsi nilivyopikwa na Babu yangu kiasi kwamba hata Wachawi wananiogopa, popote nikiwa natisha na Kuogopeka halafu hata nikitaka kufanyiwa Jambo lolote baya huwa nashtuka mapema, ila ukiwa Chifu uhusiano wako na Uchawi / Ushirikina huwa unakuwa karibu sana kwakuwa Machifu na Mizimu wana Ushirika wa kudumu kama wa Marekani na Israeli hivyo Kuwatenganisha ni vigumu sana tu.
 
Back
Top Bottom