Rais Mstaafu Kikwete nakusalim kwa jina la jamuhuri ya Muungano.
Ama kwa hakika nimekaa nikatafakari nakitafakuri nikasema niandike jambo kwenye JamiiForums labda watuwako wanaweza kukupa usome ukapata nawe tafakuri zaidi kuelekea 2025.
Huwa mara nyingi naikumbuka basically moja ya speech zako kwenye bunge la jamuhuri ya muungano pale ukisema nami nakunukuu "Tusifanye maamuzi ambayo siku moja vijana wetu watakuja kuyachapa makaburi yetu nakuuliza hivi hawa wazee walikuwa na akili?" Mwisho wakukunukuu.
Rais Mstaafu kuna wakati machale yalikucheza ukasema jamani madaraka ya kiti ni makubwa na nikitisho cha usalama na democrasia yetu.. Waja tulikubagaza nakukuona huyu mzee dhaifu sana ila kilikuja chuma walahiii kilitufulaisha.. Mola akakipenda zaidi basi akamchukua.
Rais Mstaafu mambo ni mengi ila muda mchache, kuna moto wafuka chinichini kiasi kama wazee msipo simama kidete kazi itakuwa kazi.
Wanasema unapokuwa mzee ndio unaona makosa makubwa uliyafanya nakutafuta marekebisho. CCM chama kikongwe na sote tulio na jicho la Tatu ccm inanguvu zaidi kuliko mwanachama wa ccm yaani wanachama wa ccm hawawezi kuwa zaidi ya chama ktk umaarufu.
Rais Mstaafu kwakweli msiba haujaisha bado maumivu yamo ndani ya watanzania ndani ya chama.
Hili lina fanya 2025 kuwa ngumu mithili ya ile kesi ya wanawake wawili walio kuwa wakigombania mtoto mbele ya Mfalme Suleiman jambo likamfanya Mfalme Suleiman kumuita askari wake nakuagiza yule mtoto akatwe vipande viwili jambo lakushangaza katika wale wanawake wawili mmoja akawa anasema bora akatwe vipande viwili wakati yule mwenye mtoto akisema basi apewe yule alikuwa akisema mtoto wake ndipo Mfalme aka amuru yule alie kuwa akisema mtoto asiuwawe na apewe mwenzake ndie mzazi halali wa mtoto.
Rais Mstaafu mtafanyaa makosa makubwa kulikabidhi taifa kwa miaka mitno tena kwaa viongozi waliokuwa tayari hata kuona taifa na chama kife kwa masilahi yao ya uongozi au Tamaaa za uongozi. Yapo mambo mengine nasi Twamuachia Mungu.