Elections 2010 Rais mstaafu Mwinyi aibuka kule Mbweni na ajaribu kuokoa jahazi la CCM!

Elections 2010 Rais mstaafu Mwinyi aibuka kule Mbweni na ajaribu kuokoa jahazi la CCM!

Ngoma nzito,labda Nyerere angeokoa jahazi.Lakini na yeye angepata kazi ngumu sana, kwa kuwa chama chake katika miaka ya hivi karibuni kimeboronga sana beyond repair.
 
Mkuu nami niliona, niliishia kucheka. Kumbe kura za mwaka huu ni Raia wema V/s MAFISADI
hiii vita nikubwa sana jamani tutumie silaha zetu hiyo tarehe 31! twendeni tukapige kura tusisahau kuzilinda kula zetu! HII VITA KUBWA JAMANI!
 
Mzee Ruxa kwa nini uanataka kujinukisha bure? La kuvunda halina ubani ati !!!!!
 
Back
Top Bottom