N Ndinani JF-Expert Member Joined Aug 29, 2010 Posts 7,329 Reaction score 4,286 Oct 26, 2010 #21 golder said: watu hawadanganyiiiki hata aibuke mkapa Click to expand... Mkapa amesepa yuko Sudan, pengine atarudi kupiga kura tu.!!
golder said: watu hawadanganyiiiki hata aibuke mkapa Click to expand... Mkapa amesepa yuko Sudan, pengine atarudi kupiga kura tu.!!
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,041 Oct 26, 2010 #22 Ngoma nzito,labda Nyerere angeokoa jahazi.Lakini na yeye angepata kazi ngumu sana, kwa kuwa chama chake katika miaka ya hivi karibuni kimeboronga sana beyond repair.
Ngoma nzito,labda Nyerere angeokoa jahazi.Lakini na yeye angepata kazi ngumu sana, kwa kuwa chama chake katika miaka ya hivi karibuni kimeboronga sana beyond repair.
Henge JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 6,933 Reaction score 1,511 Oct 26, 2010 #23 nyange said: Mkuu nami niliona, niliishia kucheka. Kumbe kura za mwaka huu ni Raia wema V/s MAFISADI Click to expand... hiii vita nikubwa sana jamani tutumie silaha zetu hiyo tarehe 31! twendeni tukapige kura tusisahau kuzilinda kula zetu! HII VITA KUBWA JAMANI!
nyange said: Mkuu nami niliona, niliishia kucheka. Kumbe kura za mwaka huu ni Raia wema V/s MAFISADI Click to expand... hiii vita nikubwa sana jamani tutumie silaha zetu hiyo tarehe 31! twendeni tukapige kura tusisahau kuzilinda kula zetu! HII VITA KUBWA JAMANI!
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 47,706 Reaction score 69,281 Oct 26, 2010 #24 Mzee Ruxa kwa nini uanataka kujinukisha bure? La kuvunda halina ubani ati !!!!!