Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta na Washirika wake kuchunguzwa juu ya Ukwepaji Kodi

hakuna kungusa Kenyata na biashara zake, vinginevyo kenya haitatawalika.
kenya,syo tz, wavivu wa kutumia akili
wavivu wa kutumia akili lakini upo kwenye mtandao wa jamiiforums uliotengenezwa na mtanzania unakula bata tu hapa. kwanini nisikuite nyang'au? au lile lipaka pori tunalolifukuzaga kwa mawe.
 
Tunaambiwa Kenya wana katiba bora..je hili la Uhuru kupunguziwa ulinzi lipo kikatiba??
Ndio Lipo kwenye katiba yao, President benefit act inataka Rais Mstaafu awe na Six officers tu wakumlinda, Halafu hii inshu ya Kupunguza Ulinzi sio Will ya Ruto ni takwa la Kikatiba kwasababu hata Makazi kadhaa ya marais wastaafu kama Moi nayo yamepunguziwa Ulinzi
 
Naona Jimmy wanjigi kachachama huko,anasema ruto anataka kugusa
Live wire [emoji1]

Ova
 
Ruto aangalie Mumbi nation inaweza mfanya mbaya!
 
Tukimaliza hawa tumchunguze Ruutor na utajiri wake wa wizi na unyakuzi wa mashamba hadi akaitwa arap mashamba mbali na wizi wa kura na mauaji ya akina Masando na yule mlinzi wake
 
Rutto aachane n Kenyatta family itamtokea puani...uhuru is powerful than Rutto Kwa Kila kitu .asidhani kuwa amri jeshi mkuu anaweza kumfanya kila kitu uhuru...watu wengi wanamshauri aamchane na Kenyatta lakini naona ameweka ngumu ..Muda utaamua...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mbali naona Rutto anamfuata Jiwe wakapige story. Msoga at work
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…