Rais mstaafu wa DR Congo, Joseph Kabila apokonywa walinzi

Kuna kitu kinaitwa kutokuingilia mambo ya ndani ya inchi...inchi za kiafrica zikiwemo hizo za SADC zitaishia kutoa matamko ya kulaani mapinduzi Ila baada ya muda wataunga mkono juhudi...it happens all the time.

Mozambique tu hapo jirani kuna machafuko ya wale magaidi, SADC imefanya nn so far zaidi ya ku watch from distance?ht congo ya kaskazini kuna machafuko angalau Tz tumejitutumua, but where are the rest of SADC?

Isitoshe kuna inchi Majirani na Congo na nyingine za mabeberu zina nufaika na kotokuepo kwa Amani Congo...so mapinduzi yoyote kwao ni fursa...so ikitokea Kabila akitaka kufanya mapinduzi watamuunga mkono 100% maana wanajua during a war ndo muda wao wa kuchuma vzuri.
 
Huyu Mshkaj anajitengenezea mazingira na yey akitoka wamnyanyase
 
Hizo story za vitabuni tu,subiri uone kama hata risasi 1 itarushwa.

Wanajeshi wako loyal kwa anayewaneemesha tu,ambae kwa sasa ni Felix tu.

Huo uzalendo wa wanajeshi kuwa loyal kwa mjeshi mwenzao ulishaisha tangu enzi za che guevala huko.
Km sijakosea kabila mkubwa aliuwawa na watu aliowaneemesha,muda mwingine kumneemesha mtu sio ishu watu wanaangalia nafas ulioishika.
 
Km sijakosea kabila mkubwa aliuwawa na watu aliowaneemesha,muda mwingine kumneemesha mtu sio ishu watu wanaangalia nafas ulioishika.
Kabila snr aliuwawa na watu waliomuingiza madarakani then akaja kuwageuka huko mbeleni,yaani aliwatumia kumungiza madarakani huku akisema acha wanione mimi boya nikishakamata nchi ntawageuka wote na maazimio tuliyokubaliana porini.

Ndipo na yeye wakamtibu.
 
Unamaanisha km huyu mshkaj anavyojaribu kuwadhibit waliomuingiza madarakan???
 
Unamaanisha km huyu mshkaj anavyojaribu kuwadhibit waliomuingiza madarakan???
Kabila Snr aliingizwa madarakani na wakina PK&associates(1st congo war),alivyokua rais akawaweka wanyarwanda kibao jeshini&vyombo vya usalama akiwamemo mkuu wa majeshi ya Congo Gen. Kabarebe (huyu baadae alikuja kua mkuu wa majeshi wa Rwanda.

Baadae Kabila akaja akawageuka Rwanda akasema wafunge virago warudi kwao hapo ndipo shughuli ilipoanzia.
 
Na huyu sidhan km alishinda uchaguz lkn alipigwa kumbo alieshinda na yy kupewa nafas lkn sasa hv anamgeuka aliyemuwezesha
 
Na huyu sidhan km alishinda uchaguz lkn alipigwa kumbo alieshinda na yy kupewa nafas lkn sasa hv anamgeuka aliyemuwezesha
Aliyeshinda kihalali pale ni Fayulu sema sasa yule alikua haivi kabisa na Kabila Jnr so akaona bora amuweke Felix kama kibaraka wake,haamini anachokiona sasa hivi.

Kwa hio uko sawa mkuu.
 
Bro niko lubumbashi huku jimbo la katanga Kabila ana nguvu sana cjui huko kwingine.
 
Tshekedi ameshindwa kutumia busara kabisa kwa nini asikae na wastaafu wake peaceful
 
Nadhani ndio kinachoelekea kutokea kwa Felix.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…