Rais mstaafu wa DR Congo, Joseph Kabila apokonywa walinzi

Rais mstaafu wa DR Congo, Joseph Kabila apokonywa walinzi

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] fall from the grace ... Jiwe akiona hii habari hato Toka madarakani ng'oo
Peleka uchochezi wako huko ang'ang'anie madarakani kwa kipi hasa?

Acheni maisha ya kubashiri uongo usio na maana kila mnacholeta na kuanzisha kinafeli
 
Yani viongozi wa Africa bana. Sarakasi zote hizo na hakuna hata mmmoja anadeliver yamebaki kutegemea misaada na kuagiza kila kitu hadi chupi na toothpick. Yanajaza tu vyoo vya Ikulu.
 
Hawa jamaa Amani wataendelea kuiskia redioni...jamaa anasahu kua Kabila bado ana influence Jeshini. Now wamemuondolea ulinzi atahisi wanataka kumuua, to protect himself atataka kufanya mapinduzi...then machafuko yataanza upyaaa
Kabila acha aisome namba. Mshenzi sana. Aliitisha uchaguzi fake akamweka huyu kipindi hicho ni marafiki ili aweze kuendelea kutawala kwa kumtumia. Urais wake umeisha badala ya kupumzika bado anaota kurudi tena.
 
Bro niko lubumbashi huku jimbo la katanga Kabila ana nguvu sana cjui huko kwingine.
Sasa mkuu hapo ndio kwao atashindwa kukubalika?!!nenda majimbo mengine , kama huko nord/sud kivu ndio hawataki hata kumsikia!!kwa ujumla congo mashariki yote,
 
Aliyeshinda kihalali pale ni Fayulu sema sasa yule alikua haivi kabisa na Kabila Jnr so akaona bora amuweke Felix kama kibaraka wake,haamini anachokiona sasa hivi.

Kwa hio uko sawa mkuu.
Nimesoma comment za wengi lakini wewe unaonekana una ufahamu mzuri wa kinachoendelea. Nia ya Kabila ilikuwa Felix awe rais boya na yeye ndiye awe kinana. Kuna kuna wanaosema alitaka kipindi chake kikiisha arudi tena. Lakini ilivyo ada ya urafiki wa kuwekana madarakani kama huu hadumu. Dunia ina mifano mingi sana ya marafiki waliwekana madarakani na baadae wakageukana. Hata hapa kwetu upo wa Lowassa na Kikwete.
 
Hili ni kosa lingine la ki ufundi katika uwanda wa kijasusi. Alipaswa kuwatumia walinzi ili kupata baadhi ya taarifa muhimh kutoka kwa Kabila. Any ways ngoja tuone huu mchezo utachezwaje
Keep your enemy at bay sio sanaa pekee kwenye uwanda wa Intelligentsia, kuna banish your enemy kama strategy pia
 
Sasa mkuu hapo ndio kwao atashindwa kukubalika?!!nenda majimbo mengine , kama huko nord/sud kivu ndio hawataki hata kumsikia!!kwa ujumla congo mashariki yote,
Hulijui jimbo la katanga wewe unaonekana
 
Bila shaka Dr Bashiru na pole pole wameipata taarifa hii.
 
Hulijui jimbo la katanga wewe unaonekana
Sasa nilijue vipi?ninachofahamu kabila ni mzaliwa wa jimbo la katanga?au ulitaka nifahamu na vitongoji vyake?!!nimekwambia sehemu kubwa ya nchi kwa sasa kabila hana ushawishi sana, wewe ukasema mbona lubumbashi ana kubalika sana, ndio nikakujibu , inawezekana ila ndio kwao huko!!
 
Waafrika wengi akili hovyo sana hasa Congo..
 
Nimesoma comment za wengi lakini wewe unaonekana una ufahamu mzuri wa kinachoendelea. Nia ya Kabila ilikuwa Felix awe rais boya na yeye ndiye awe kinana. Kuna kuna wanaosema alitaka kipindi chake kikiisha arudi tena. Lakini ilivyo ada ya urafiki wa kuwekana madarakani kama huu hadumu. Dunia ina mifano mingi sana ya marafiki waliwekana madarakani na baadae wakageukana. Hata hapa kwetu upo wa Lowassa na Kikwete.
Uko sawa kabisa mkuu,jamaa alidhani felix atakua boya wake maana hata bunge lote lilikua controlled na wabunge wa Kabila(kwa uwingi wao) kila felix akitaka kufanya jambo lolote la maana ni lazima amualike kabila ikulu kujadili jambo hilo,sasa urais gani huo.

Hata Chiluba alimpachika mwanawasa urais nae Mwanawasa akaja kumgeuka na kesi za ufisadi juu.
 
Nataka nione mwisho wa huyu Mtu, amesemwa kwa mabaya mengi.
PK kinachombeba ni akili zake mkuu anaelewa vyema namna ya kuzicheza kete zake kila wakati inavyotakiwa yupo smart sana upstairs kila lenye mwanzo lina mwisho but huyu jamaa kuanguka kwake bado sana sio kesho wala keshokutwa
 
Huwezi pangua wanajeshi walipangwa kwa miaka 18 kwa muda wa miaka miwili...Pia Wanajeshi hawawezi kua Loyal kwa wanasiasa bali kwa wanajeshi wenzao na kwao Kabila ni mwenzao, thus why wanasiasa hua wanajitahidi kuweka ma Generali wanaokubalika Jeshini ukifeli hapo mapinduzi ni nje nje.
Ndio ilivyo ni jipu linalosubiri kupasuka.
 
Back
Top Bottom