Rais mstaafu wa Kenya, Moi atakiwa kulipa bilioni 1 za Kenya kwa kunyang’anya shamba la Mjane

Rais mstaafu wa Kenya, Moi atakiwa kulipa bilioni 1 za Kenya kwa kunyang’anya shamba la Mjane

Display Name

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
423
Reaction score
451
Rais mstaafu wa Kenya, Daniel Arap Moi ameamriwa na Mahakama Kuu jijini Nairobi amlipe fidia ya Ksh bilioni 1 Susan Cheburet Chelungui na mwanawe David Chelungui kwa kosa la kutumia mamlaka yake vibaya na kuwanyang'anya shamba familia hiyo mnamo mwaka 1983

Mjane huyo aliporwa shamba lake kwa njia ya udanganyifu huku maafisa wakuu Serikalini wakitumiwa katika ndanganyifu huo na kisha kuliuza shamba hilo kwa kampuni ya Rai Plywood (K) Limited

Mahakama ilisema kuwa mbali na Rais Moi, sehemu ya shamba hilo pia iligawiwa kwa aliyekuwa Waziri msaidizi kwenye utawala wa Moi, Stanley Metto

Jaji Ombwayo alisema hakukuwa na ushahidi wowote kuonesha uhalali wa Rais huyo mstaafu kusajiliwa kama mmiliki halali wa shamba hilo

———————————————-
The High Court in Eldoret on Thursday ordered Retired President Daniel Arap Moi to pay Ksh.1.06 billion as compensation for illegally acquiring 53 acres of land belonging to an 81-year-old widow, Susan Cheburet Chelugui.

Delivering the ruling, Judge Anthony Ombwayo said acquisition of the land by the former president and Rai Plywood Limited, was done in an unlawful manner.

“…acquisition of the said properties by the 1st and 2nd respondents were arbitrary unconstitutional, irregular, unprocedural, tainted, a nullityab initio and therefore not worthy of any constitutional protection,” ruled the judge.

The judge noted that the Ksh.1 billion compensation is a commensurate compensation to the petitioners for the loss of their land through an unprocedural scheme.

“The 1st and 2nd respondents do pay and are hereby ordered to pay the estate of the Late Noah K. Chelugui the prompt payment in full of just and current market value of the said properties….,” said the judge.

In the case, Ms. Chelugui and her son David Chelugui said Moi transferred their family land to himself in 2007; two years after the death of her husband Noah Chelugui, who was a chief during Moi’s regime.

The former president is then said to have sold the land to Rai Plywood Limited.

“The property Eldoret Municipality/Block 15/239(53 acres) which had gone to the Retired President Daniel Toroitich Arap Moi was subsequently sold by him (the Retired President) to the Rai Plywood (K) who have since taken possession, occupation, enjoyment and use of the said property,” reads court documents.

The said land is located along the Uganda Road in Eldoret, Uasin Gishu County.
 
Kuna kipindi Nyerere alisema Kenya ni "man eat man society", akimaanisha kwamba Kenya wanaishi kama Wanyama porini, yaani mwenye nguvu kumtafuta mnyama dhahifu, au dunia ya samaki, mkubwa kumeza mdogo.

Kama rais ambaye amekabidhiwa madaraka ili kuwalinda watu wote, hasa wale wanyonge dhidi ya wale wenyenguvu, badala yake yeye ndio anashirikia na watu wenye nguvu kuwakandamiza wanyonge, hiyo nchi ni Failed state.
 
Inasikitisha Rais wa nchi kujiingiza katika dhuluma, tena dhuluma kwa mjane. Utapata wapi rehema kwa Mungu kwa kutenda hayo? Wala hasikate rufaa, amlipe tu mama wa watu na aende kutubu.
 
Kuna kipindi Nyerere alisema Kenya ni "man eat man society", akimaanisha kwamba Kenya wanaishi kama Wanyama porini, yaani mwenye nguvu kumtafuta mnyama dhahifu, au dunia ya samaki, mkubwa kumeza mdogo.

Kama rais ambaye amekabidhiwa madaraka ili kuwalinda watu wote, hasa wale wanyonge dhidi ya wale wenyenguvu, badala yake yeye ndio anashirikia na watu wenye nguvu kuwakandamiza wanyonge, hiyo nchi ni Failed state.
Tanzania ni Man eat nothing society hata afadhali huyu mjane juu mwishowe korti imeamuru awe compensated. Hapo kwenu kunatia huruma sana, serikali inanyakuwa shambani itakavyo bila compenseshen kwa wanaanchi wake.

Kila kitu Tanzania kinatia hasira. Kuanzia public transport hovyo, daladala za kugombania. Ukiwa huna nguvu hupandi achilia mbali kukaa muda mrefu kituoni kusubiri daladala. Maeneo mengine ndio hovyo kabisa mpaka unajionea huruma mwenyewe na kizazi chako, maana mvua ikinyesha daladala hazifiki, inabidi utembee umbali mrefu kuzifuata daladala, viatu na suruali vinatapakaa tope utadhani umetoka kulima kumbe mtu unaenda kazini. Miundo mbinu nayo hovyo kabisa. Maji tu ya jangwani yametushinda kama nchi. Watu wanashindwa kufanya shughuli za kimaendeleo eti jangwani hakupitiki, seriously? Hii nchi hovyo kweli. Yaani watanzania kama nchi maji ya jangwani yametushinda? Tujitafakali kama tunastahili kuimiliki Tanzania,...Hela zetu nssf tumetungiwa sheria za hovyo lakini watanzania kimya, woga umewajaa hakuna hata wa kuingia barabarani na kuwaonyesha watawala kuwa hizi sheria ni za hovyo. Ajira nazo ni hovyo tu. Kwanza ajira hakuna na ukiipata mshahara wake ni hovyo tu, unafanya kazi lakini maisha bado ni magumu tu labda uwe fisadi ndio maisha yatakuwa mepesi. Mama mjamzito akihudhuria clinic kuna vipimo vya kulipia, akiwa hana hela hawezi kupimwa, dah! yaani hovyo kabisa. Watanzania sijui tulikwama wapi? Nchi hii inatia hasira.

Kuna kipindi Nyerere alisema Kenya ni "man eat man society", akimaanisha kwamba Kenya wanaishi kama Wanyama porini, yaani mwenye nguvu kumtafuta mnyama dhahifu, au dunia ya samaki, mkubwa kumeza mdogo.

Kama rais ambaye amekabidhiwa madaraka ili kuwalinda watu wote, hasa wale wanyonge dhidi ya wale wenyenguvu, badala yake yeye ndio anashirikia na watu wenye nguvu kuwakandamiza wanyonge, hiyo nchi ni Failed state.
Ndio sababu niliwahi kusema,hizi mahakama kama za ICU kwa sisi huku Afrika,zatufaa sana kwa ajili ya viongozi wetu....just in case....Zisipigwe vita,zisiondolewe na tushinikize (tukiweza) kusaini mahakama zote zitakazeweza kuja kulinda maslahi ya watu maskini,hasa pale mahakama zetu zikifeli au zikikosa utashi au meno ya kubana hawa viongozi wetu
 
Ni kweli kabisa unayosema, nchi nyingi za Africa zinazopinga ICC ni nchi za hovyo hovyo kama Kenya, Rwanda, Burundi na zingine kama hizo, yaani watawala waachiwe wafanye wapendavyo. Hivi kweli ni nchi gani duniani ambapo zaidi ya RAIA 1500 wanauliwa, kisha watu ambao wanashutumiwa kuwa ndio wauaji wanachaguliwa kuongoza nchi hata kabla hawajawa "cleared". Kenya ni nchi ya ajabu sana.
 
Moi aliwanyang'anya familia ya Chelungui shamba lao, Jiwe naye akawanyang'anya wakulima korosho zao. Hamna cha ajabu hapo, ndio kawaida ya madikteta.
 
Ben ,Edo,Fredy,Magu to mentiona few should think twice.A day is coming when no stone will not be turned!
 
Ni heri huko mahakama imeamua. Hapa mamia ya wakulima wa korosho wamedhulumiwa hakuna la kufanya.
 
Back
Top Bottom