John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Rest In Peace sirRais wa zamani wa Zambia, Rupiah Banda amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85 baada ya kusumbuliwa na saratani ya tumbo.
Mtoto wa Banda ameeleza kuwa baba yake amefikwa na umauti Ijumaa Machi 11, 2022 baada ya kuumwa kwa muda mrefu.
Banda, raia wa nne wa Zambia alikuwa madarakani mwaka 2008 hadi 2011, alianza kusumbuliwa na saratani miaka miwili liyopita.
View attachment 2147320
Source: nationalpost
Tiende pamoziRais wa zamani wa Zambia, Rupiah Banda amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85 baada ya kusumbuliwa na saratani ya tumbo.
Mtoto wa Banda ameeleza kuwa baba yake amefikwa na umauti Ijumaa Machi 11, 2022 baada ya kuumwa kwa muda mrefu.
Banda, raia wa nne wa Zambia alikuwa madarakani mwaka 2008 hadi 2011, alianza kusumbuliwa na saratani miaka miwili liyopita.
View attachment 2147320
Source: nationalpost
Legacy si miundo mbinu pekee..Kaacha legacy gani. Madaraja? Flyover? Sgr? Au
Pumzika kwa amani rais mstaafu.
Kwani legacy ni hiyo tu? Hata kupora mali za kina GSM nayo ni regaseKaacha legacy gani. Madaraja? Flyover? Sgr? Au
Pumzika kwa amani rais mstaafu.
MnhKaacha legacy gani. Madaraja? Flyover? Sgr? Au
Pumzika kwa amani rais mstaafu.