Wanalingana sana:
Wote ni populists
Wote wanatumia ahadi ya pepo na mambo mazuri bila kuwaambia watu ukweli wa hali halisi.
Wote wawili wamekampeni kwa kutumia ahadi tupu bila rekodi yoyote.
Wote wawili wamebebwa na vyombo vya habari to the expense of any other
Wote wawili wanatumia mvuto wa sura kama inspiration
Wote wawili wanaahidi kuwafanyia watu mengi zaidi kuliko yanayowezekana kibinadamu ikiwemo "lets go and change US, lets go and change the world - Obama" na "Maisha bora kwa kila Mtanzania yanawezekana" - Kikwete.
Wote wawili wanadaiwa kuwa na mahusiano na watu wenye mashaka; Obama na kina Ayers, Kikwete na kina Patel
Of course wanatofautiana pia; mmoja ni Mmarekani mwingine ni Mtanzania.
Mkuu mkjj nadahani hapa umepotosha kidogo
Well
1. Populist charge - JK anajulikana na amestruggle sana kuwa popular -kwa hili hamna ubishi na hata aides wake na washauri wa karibu ni wale waanaomsifia whilst BHO popularity is from him being one of the very few american ever hold the senator position, The way he ran one of the most successful primary campaiign in US history. The way he has been running this gen. election campaign has bn outstanding. Aides wake ni wataalamu na wenye record ya perfomance. Just think of Ax.
2. Ahadi za pepo charge - JK was and still purely Vague, whilst BHO the plans and promises are well explained in his website (In this case manifesto). JK hata ile ilani ya CCM haileweki ni namna gani watatizmiza ahadi zao. Na kuhusu rekodi mkuu tafadhali BHO alikuwa community organiser for some years... Remember those piles of asbestos waste in Alt. South side? Alikuwa part time law proffessor Chicago uni. with accomplishments well expalined in his website. senetarial record is also well explained in his website and also the US senate website.
3. Media charge - Whilst JK na maswahiba wae walikuwa wanawahonga waandishi ili JKasifiwe na kupambwa BHO amewainspire liberal media to an extent wanajikuta wakimuandika vzuri muda mwingi. Of late ofcourse election ya Marekani feza inaplay part kubwa sana therefore mwenye hela mingi atakuwa anapost ads nyingi pia hii ni regardless you are republican, democrat, Mcain, BHO, Romney or Hillary.
4. Mvuto wa sura charge: Mkuu kwa JK hii ni kweli kabisa lakini kwa BHO ni combination ya mvuto na mambo mengi especially speeches, message and deliverance. Historia pia ya BHO ni too inspiring. Na eneo hili ndio viongozi wetu wengi watZ ratings are so low. Mkjj don't tell me kwamba the masses wanaoattend rally za BHO possibly wameuwa inspired na mvuto wa sura?????
5. Change charge - Mkuu maisha bora kwa kila mtanzania hii ilikuwa ni ndoto amabayo inawezekana kama you have a right leardeship to bring about. Change as for BHO is imminent. Imagine Closing the Guantanamo. Normalizing relationship wth Cuba, Venezuela and possibly Iran. Ending the war in Iraq and so many more that even the Bush administration as slowly leaning to admittance.
6. Controversial relationships charge - Whilst BHO and controversial Ayers were together in the Chicago board of education, and contr. Wright was his pastor I fail to understand how JK is in the tank of Jeetu, RA, Vhlatini etc.
nawakilisha..........