Kenya 2022 Rais Mteule Ruto asema Mahakama Kuu haina Mamlaka kumtangaza Odinga Rais

Kenya 2022 General Election
Ruto is almost not involved in this case. All prayers in the Azimio petition are claiming for IEBC failure or inefficiency.
Failure ya IEBC ni kukataa kufuata matakwa mabovu ya deep state. Wameumbuka kama Mandonga Mtu Kazi

NB: Nimekujibu bila hata kujua umeandika vitu gani. Inaonekana ulikuwa na nukta nzuri sana, ila Inglishi imekuvurugia matokeo ka Kenya vile.
 
Inaonekana hata Katiba ya Kenya huifahamu.Ungekuwa unaifahamu walau kidogo tu ungepaswa kujua siku ile petition ilivyopokelewa SCOK privileges zote za President elect zilisitishwa.
Hii sio kweli kwa 100%.
Mpaka sasa bado Ruto ni President elect, kufungua kesi mahakamani kuu hakujafuta chochote kile kilichofanywa na Chebukati (kumtangaza Ruto ni rais). Privileges zote za President erect mpaka sasa anazo Ruto, zitakoma siku mahakama kuu akitoa hukumu ya kutengua ushindi wa Ruto.
 
Hao wanaopayuka wawekega na vifungu kabisa. Mie nimechoka kuwarekebisha deile. Ajira yangu Max aliisitisha hivi juzi kati hanilipi tena 🙂
 
Ruto kama umeshinda kihalali kwann uogope mahakama. Wacha mahakama ifanyike Kazi yake
 
Raila bila shaka anajua kuwa hii ni attempt yake ya mwisho, bila shaka amejiapiza kuwa mvua inyeshe au jua liwake ni lazima awe rais na ikibidi hata kwa goli la mkono!!
 
Raila bila shaka anajua kuwa hii ni attempt yake ya mwisho, bila shaka amejiapiza kuwa mvua inyeshe au jua liwake ni lazima awe rais na ikibidi hata kwa goli la mkono!!
Rais wa UN labda, because nasikia kazungumza nao. Ila kuhusu kugombea, bado yupo sana.

^I must have been born particularly for presidential contests, not necessarily winning the presidency^ ~ Raila.
 
Wanambrief kama nani wakati Uhuru bado ni Rais ! au wenzetu huko Kenye mtu akishatangazwa kuwa ni Rais mteule basi ashaanza kupigiwa mizinga duh ! hovyo kweli wew eti briefing
Soma katiba ya Kenya si kukaa na kubwabwaja tu.Soma upate kuelewa haki stahiki za rais mteule wa Kenya alafu urudi kuchangia.
 
Kwa mujibu wa Katiba ya Kenya kesi ikifunguliwa baada ya mshindi kutangazwa haki au stahili zote za Rais mteule zinakufa kifo cha Mende.
 
Bado Ruto ni rais Mteule mpaka pale mahakama itakapoamua vinginevyo. Hivyo anaendelea kupata haki za rais mteule.
Ni Rais Mteule lakini stahiki zake zinakufa pale shauri linapopelekwa mahakamani kuhusiana na uhalali wa ushindi wake.Siku RAO alipokwenda Mahakamani kupinga ushindi wa Ruto privilege za uRais Mteule zilikoma.Ruto sasa ana enjoy privilege za Naibu Rais zaidi kuliko Rais Mteule.

Ni bahati mbaya sina muda wa kukupisha ktk vifungu vya sheria ambavyo vipo wazi kuhusiana na suala hili.Ndugu zetu waKenya wapo vizuri kweli kweli Sisi bado tunakimbiza Mwenge kama mazombie.

Ukifuatilia vizuri heka heka za Ruto kabla RAO hajaenda mahakamani na baada ya kwenda utabaini hili ninalokwambia.
 
I agree with Ruto.

Mahakama haina mamlaka ya kumtangaza Raila mshindi bali mamlaka yake yanaishia kwenye kubatilisha matokeo tu.

Mwenye mamlaka ya kutangaza mshindi ni Tume.

Hivyo mahakama itakachofanya ni kutoa amri kwa uchaguzi kurudiwa.
 
Kwa mujibu wa Katiba ya Kenya kesi ikifunguliwa baada ya mshindi kutangazwa haki au stahili zote za Rais mteule zinakufa kifo cha Mende.
Yaani haki zinakufa kwa tuhuma? Yaani aliyetoa tuhuma haijathibitisha halafu haki zife?
So mlugaluga yoyote ukiacha Raila akienda kufungua kesi dhidi ya ushindi wa Rais mteule haki zake zote zinakufa? Au kwa sababu ni Raila?

Ruto ni president elect until mahakama ime prove otherwise
 
I agree with Ruto.

Mahakama haina mamlaka ya kumtangaza Raila mshindi bali mamlaka yake yanaishia kwenye kubatilisha matokeo tu.

Mwenye mamlaka ya kutangaza mshindi ni Tume.

Hivyo mahakama itakachofanya ni kutoa amri kwa uchaguzi kurudiwa.
Au kuiamuru IEBC imtangaze Raila! 🙂 Si ndivyo eti ^deep state^ (ya Raila?) inataka? Wamtangaze tu, maana amesota sana. Wampe ushindi wa mezani (aka goli la Nimrod Mkono) 🙂 Wampe tu aongeze Sea-vii yake. Wampe tu ili nchi isonge mbele. Wampe tu! Wampe, wampe! Ahgrgffdhfxgghvcsfcsddddgggg!!!
 
Siku Uhuru alipopiga kura privilege za uRais zinapunguzwa ikiwemo kufanya uteuzi lakini bado ni Rais.

Ruto alistahili kupewa briefing za usalama na nk lakini kesi ikishafunguliwa hilo jambo halifanyiki tena.
 
I agree with Ruto.

Mahakama haina mamlaka ya kumtangaza Raila mshindi bali mamlaka yake yanaishia kwenye kubatilisha matokeo tu.

Mwenye mamlaka ya kutangaza mshindi ni Tume.

Hivyo mahakama itakachofanya ni kutoa amri kwa uchaguzi kurudiwa.

Mahakama ya juu (Supreme Court) inaweza kumtangaza ingawa katika mazingira/hoja za RAO sioni hilo likitokea.

Hoja za RAO zina nguvu zaidi katika kufuta uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…