Kenya 2022 Rais Mteule Ruto asema Mahakama Kuu haina Mamlaka kumtangaza Odinga Rais

Kenya 2022 General Election
Siku Uhuru alipopiga kura privilege za uRais zinapunguzwa ikiwemo kufanya uteuzi lakini bado ni Rais.

Ruto alistahili kupewa briefing za usalama na nk lakini kesi ikishafunguliwa hilo jambo halifanyiki tena.
Stop embarrassing yourself! You know absolutely nothing about our constitution and the assumption of office of the president act. President elect WSR is entitled to briefing from security agencies and has the power to ask for information from any public officer and failure by any public officer to provide such information as requested for by the president elect within reasonable time, is liable to fine or jail term or both. There is nowhere in the constitution or assumption of office act that states the rights and privileges of President elect are suspended on account of a petition. Stop peddling lies and outright misinformation.
 
Huyo jamaa anapaswa kujua kwamba almost marais na presidential candidates wote wadogo kwa wakubwa (including Odinga mwenyewe) wamefika hapo kwa hisani ya Ruto kifedha ama kishawishi.
Kwamba Odinga uwezo wa kifedha ni mdogo kuliko Ruto? Ridiculous.

Odinga ni mwanasiasa mkongwe kuliko Ruto wa juzi. Odinga ndiye aliyesababisha mabadiliko ya Katiba ya nchi ya Kenya kwa ushawishi alionao.

Odinga ameanza siasa wakati huo Ruto bado anauza kuku.

Odinga ni mtu mashuhuri na mwenye ushawishi mkubwa Kenya kuliko hata Rais aliyepo madarakani.
 
Huyo pesa zake anaweza kununua nchi yote ya Kenya na mali excluding raia wake
Haya sasa yanaitwa mahaba niue. Umepagawishwa sana na Ruto.

Familia ya Kenyatta pekee inamiliki zaidi ya robo ya ardhi yote ya Kenya.

Familia ya Kenyatta na Odinga kwa pamoja wanamiliki ardhi ya Kenya karibu nusu na wana utajiri wakutisha.

Kenyatta ana kiwanda cha kuzalisha vipuri vya ndege ukiachilia biashara kubwa na uwekezaji mkubwa nje na ndani ya nchi.
 
Dalili ya kuchanganyikiwa imeanza mapema
 
Unajua imebidi nimshangae,eti Ruto ana pesa kuliko Kenyatta.Yani mtu anatuongopea wazi bila aibu.
 
I agree with Ruto.

Mahakama haina mamlaka ya kumtangaza Raila mshindi bali mamlaka yake yanaishia kwenye kubatilisha matokeo tu.

Mwenye mamlaka ya kutangaza mshindi ni Tume.

Hivyo mahakama itakachofanya ni kutoa amri kwa uchaguzi kurudiwa.
Mahakama inayo uhuru huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…