Na alimgawia nyumba ya serikali hawara yake.Ruto ni mwizi mkubwa ni bilionea hapo Kenya,
Magufuli naye alikuwa mwizi mkubwa hadi hawara yake tu alimjengea hoteli ya mabilioni pale Mwenge
Hili nalo neno aiseeRuto ni mwizi mkubwa ni bilionea hapo Kenya,
Magufuli naye alikuwa mwizi mkubwa hadi hawara yake tu alimjengea hoteli ya mabilioni pale Mwenge
Sema wanyonge sijui mnakuwa na akili kama za misukule kuamini sana hawa wanasiasa
Ruto aliahidi kufurusha wachina wote, sasa matumbo joto!
Wananchi wamemchagua mtu wanayempenda, hivyo wameweka matumaini makubwa mno kwake.
Atakapokalia tu hicho kiti, atauona ugumu ktk uhalisia wake,
Tunamwombea afanye vizuri maana inaonekana mwisho wake atachukiwa sana sababu ya Imani kubwa alopewa na umma.
Ameeeen
Ruto ni mwizi mkubwa ni bilionea hapo Kenya
Magufuli naye alikuwa mwizi mkubwa hadi hawara yake tu alimjengea hoteli ya mabilioni pale Mwenge
Sema wanyonge sijui mnakuwa na akili kama za misukule kuamini sana hawa wanasiasa