RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Kipaumbele cha kwanza mahakama ziwezeshwe ili kesi za mafisadi zifanyiwe kazi haraka Kenya kwanza, wanyonge wainuliwe.
DCI akimaanisha Mkurugenzi wa upelelezi nchini Kenya awe independent afanye kazi bila remote control kutoka Serikalini achunguze kila majizi bila maelekezo kutoka juu.
Mazungumzo yake na mwandishi hayo hapo mnaweza kumsikiliza nadhani majizi sahivi roho zao zipo jujuu hata hivyo alishasema yeye siyo mtu wa visasi lakini pia ameshasema hana huruma kwa wezi wa fedha za umma.