Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Sasa na uzee wote huo...na mikikimikiki ya uchaguzi si atakuwa hoi sana?Du. Are you serious? Mimi nilidhani katika kipindi ambacho rais anakuwa busy ni kipindi hiki! Unakwenda kufanya mipango ukiwa Ulaya? Hapa watakuwa wameficha kitu. Huyu ameenda kutibiwa! Na hakuna aliyesema anatumia fedha za serikali, soma vizuri.
Labda yuko checkup ya afya