Rais Museven apeleka Jeshi DRC kusaidia Majeshi ya Serikali dhidi ya Magaidi wa M23

Kwenda sio tatizo, wanaweza wakafika kule na wasipigane
 
Vita Ni mbinu Tu Na vitani ndo mbinu zinakotumika ...Congo Ni nchi yenye fursa Na Ni Chaka la wengi, tungesema kila mja Na anakaribishwa Congo ilmradi usimkanyage mwenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…