Rais Museven apeleka Jeshi DRC kusaidia Majeshi ya Serikali dhidi ya Magaidi wa M23

Rais Museven apeleka Jeshi DRC kusaidia Majeshi ya Serikali dhidi ya Magaidi wa M23

Hatimaye General Yoweri Museven amepeleka Jeshi nchini DRC kumsaidia Rais Tshisekedi dhidi ya magaidi wa M23

Source Al Jazeera news
Hapana, ni kupambana na ISIS na sio M23.

Screenshot_20250220_080822_Chrome.jpg

View: https://x.com/mkainerugaba/status/1890818774573498565?t=uqTmHI8XjaJ0fG7N4grXQQ&s=19

View: https://x.com/mkainerugaba/status/1890889282669121639?t=3uh_-BNCHnnUjHAVavYqOA&s=19
 
Hatimaye General Yoweri Museven amepeleka Jeshi nchini DRC kumsaidia Rais Tshisekedi dhidi ya magaidi wa M23

Source Al Jazeera news
Fuata source nyingine Meku, Museveni na mwanae Jenerali Kainerugaba wanaenda Bunia (pasipo M23)kupigana na waasi wengine wenye kuuwa ndugu za wa mbari ya Bahima.
 
Fuata source nyingine Meku, Museveni na mwanae Jenerali Kainerugaba wanaenda Bunia (pasipo M23)kupigana na waasi wengine wenye kuuwa ndugu za wa mbari ya Bahima.
Sasa hiyo ni vita au ni vurugumechi? Yan huyu anampiga yule; yule naye anawapiga hawa Dah! inakuwa kama vile ndani ya hiyo vita ni yeyote mwenye bunduki anaingiamo na kujipigia .
 
Back
Top Bottom