Rais Museven ni Alama ya Viongozi wa hovyo kabisa barani Afrika

Rais Museven ni Alama ya Viongozi wa hovyo kabisa barani Afrika

Museveni- Rais.

Janeth Museveni - Waziri

Muhoozi Kainerugaba- Mshauri mkuu wa jeshi (Mrithi)

Hapo mwenye akili ataelewa mchezo wanaochezewa wajinga

Muhoozi amekuwa hashikiki hata akiwapiga mkwara live wapinzani kwenye handle zake za social media!
 
Nimesikiliza hotuba ya Rais Museveni akihutubia viwanja vya Ikulu, jijini Dar.

Ameongea mambo mengi ya msingi sana. Kama humjui unaweza kusema anaongoza taifa tajiri zaidi duniani.

Anasema
Afrika ina utajiri mkubwa wa rasilimali lakini ina umaskini mkubwa sana wa kipato.
Ametolea mfano wa nchi ya Japan na kusema haina gesi, madini, mbuga, wala mafuta lakini ni moja ya nchi tajiri sana Ulimwenguni.

Akaongezea kua maendeleo ya Japan ni kwa sababu ya uongozi bora.

Ukimsikiliza kwa makini RAISI Mseveni Akiongea,
utadhani kama ndio anagombea Urais kwa mara ya kwanza ili akafanye mabadiliko chanya kuliinua taifa lake..

Kumbe ni mtu mwenyewe amekaa madarakani kwa zaidi ya miaka 35.

Yaani Anaongea kama kiongozi shupavu mwenye mikakati ya kuikomboa nchi yake na Lindi la umaskini.

Yani ukimsikiliza kwa makini,
huwezi amini kama yeye ndio aliekopa pesa Exim bank CHINA, akaweka rehani uwanja wa ndege wa Entebe, ambao umechukuliwa na wachina hivi karibuni baada kushindwa kurejesha deni .

Afrika sijui aliyetuloga ni nani?[emoji848]View attachment 2026407
KibOko ya wapinzani uchwara kama kina Mbowe nk
 
Tatizo kubwa Sana hili
Mipango yote inayopangwa nchini chini ya huyu babu M7 nikukandamizana tu,nani anashauri ili iendane na teknolojia.
Huwa namuona kama Bro K wa futuhu.
 
Kumbe somo la history lina maana.bila Museveni Uganda iligeuka killing field.Ndio sababu mataifa makubwa hawamukei vikwazo
 
Hiyo itakuwa ile History aliyokuwa anaipigia chapuo jiwe.
Kumbe somo la history lina maana.bila Museveni Uganda iligeuka killing field.Ndio sababu mataifa makubwa hawamukei vikwazo
 
Nimesikiliza hotuba ya Rais Museveni akihutubia viwanja vya Ikulu, jijini Dar.

Ameongea mambo mengi ya msingi sana. Kama humjui unaweza kusema anaongoza taifa tajiri zaidi duniani.

Anasema
Afrika ina utajiri mkubwa wa rasilimali lakini ina umaskini mkubwa sana wa kipato.
Ametolea mfano wa nchi ya Japan na kusema haina gesi, madini, mbuga, wala mafuta lakini ni moja ya nchi tajiri sana Ulimwenguni.

Akaongezea kua maendeleo ya Japan ni kwa sababu ya uongozi bora.

Ukimsikiliza kwa makini RAISI Mseveni Akiongea,
utadhani kama ndio anagombea Urais kwa mara ya kwanza ili akafanye mabadiliko chanya kuliinua taifa lake..

Kumbe ni mtu mwenyewe amekaa madarakani kwa zaidi ya miaka 35.

Yaani Anaongea kama kiongozi shupavu mwenye mikakati ya kuikomboa nchi yake na Lindi la umaskini.

Yani ukimsikiliza kwa makini,
huwezi amini kama yeye ndio aliekopa pesa Exim bank CHINA, akaweka rehani uwanja wa ndege wa Entebe, ambao umechukuliwa na wachina hivi karibuni baada kushindwa kurejesha deni .

Afrika sijui aliyetuloga ni nani?[emoji848]View attachment 2026407
Hawa ni moja ya viongozi ambao ningekua raisi , ilikua ni marufuku kukanyaga nchini bila kujali ushirikiano wa Afrika Mashariki Kama mshirika, kwanza nae hakushinda ,aligalagazwa mbali mno na kijana yule mwanamziki, kauwa ,kateka watu kibao ,

Alafu Mungu alivyofundi Hana miaka 5 mbele uyu ,eisha kongoroka,

Ni kweli kalelewa tz , ila ulevi wa madaraka yanampeleka pabya, na amearibikiwa sana

Hakuna uchaguzi nje wa kwetu wa 2025 nimefuatilia kuliko wa Uganda
 
Nimesikiliza hotuba ya Rais Museveni akihutubia viwanja vya Ikulu, jijini Dar.

Ameongea mambo mengi ya msingi sana. Kama humjui unaweza kusema anaongoza taifa tajiri zaidi duniani.

Anasema Afrika ina utajiri mkubwa wa rasilimali lakini ina umaskini mkubwa sana wa kipato. Ametolea mfano wa nchi ya Japan na kusema haina gesi, madini, mbuga, wala mafuta lakini ni moja ya nchi tajiri sana Ulimwenguni.

Akaongezea kua maendeleo ya Japan ni kwa sababu ya uongozi bora.

Ukimsikiliza kwa makini RAISI Mseveni Akiongea, utadhani kama ndio anagombea Urais kwa mara ya kwanza ili akafanye mabadiliko chanya kuliinua taifa lake..

Kumbe ni mtu mwenyewe amekaa madarakani kwa zaidi ya miaka 35.

Yaani Anaongea kama kiongozi shupavu mwenye mikakati ya kuikomboa nchi yake na Lindi la umaskini.

Yani ukimsikiliza kwa makini,
huwezi amini kama yeye ndio aliekopa pesa Exim bank CHINA, akaweka rehani uwanja wa ndege wa Entebe, ambao umechukuliwa na wachina hivi karibuni baada kushindwa kurejesha deni.

Afrika sijui aliyetuloga ni nani?[emoji848]

View attachment 2026407
Kwa hotuba hii ya Rais Mseveni, ulitakiwa umshukuru sana badala ya kumlaumu. Alichokuwa anajaribu kusema hapa ni kwamba sisi tuna rasilimali ambazo zinatufanya kuonekana matajiri lakini hatuna maendeleo kwa sababu tunachangia sisi wenyewe kutokuwepo kwa maendeleo hayo, na kwamba Rais peke yake ndani ya nchi hatoshi kutufanya tuweze kupata maendeleo hata kama atakakaa madarakani kwa muda mrefu kiasi gani. Kwa ufupi, picha aliyokuwa anaitoa Rais Mseven ni kwamba Rais peke yake hatoshi kuleta maendeleo hata kama atakuwa ni mzuri namna gani, na kwa sisi ambao tuna Rais mpya sasa hivi, tunatakiwa sasa kuhakikisha tunampa ushirikiano unaotakiwa na usiokuwa wa kinafiki, ili mpaka kufikia kipindi atakaopokuwa anamaliza vipindi vyake tuweze kuwa tumefika angalau hata hatua ya kutembea, assuming sasa hivi tunatambaa. Sifa nyingi kwa Rais huku sehemu zingine tukiwa hatumpi ushirikiano unaotakiwa bali tunakuiwa tunamhujumu, hazitatusogeza sehemu. Rais Mseveni ameongea hoja za msingi sana na ninampongeza sana kwa hoja hizo alizozitoa
 
Back
Top Bottom