Rais Museven ni Alama ya Viongozi wa hovyo kabisa barani Afrika

Museveni- Rais.

Janeth Museveni - Waziri

Muhoozi Kainerugaba- Mshauri mkuu wa jeshi (Mrithi)

Hapo mwenye akili ataelewa mchezo wanaochezewa wajinga

Muhoozi amekuwa hashikiki hata akiwapiga mkwara live wapinzani kwenye handle zake za social media!
 
KibOko ya wapinzani uchwara kama kina Mbowe nk
 
Tatizo kubwa Sana hili
Mipango yote inayopangwa nchini chini ya huyu babu M7 nikukandamizana tu,nani anashauri ili iendane na teknolojia.
Huwa namuona kama Bro K wa futuhu.
 
Kumbe somo la history lina maana.bila Museveni Uganda iligeuka killing field.Ndio sababu mataifa makubwa hawamukei vikwazo
 
Hiyo itakuwa ile History aliyokuwa anaipigia chapuo jiwe.
Kumbe somo la history lina maana.bila Museveni Uganda iligeuka killing field.Ndio sababu mataifa makubwa hawamukei vikwazo
 
Hawa ni moja ya viongozi ambao ningekua raisi , ilikua ni marufuku kukanyaga nchini bila kujali ushirikiano wa Afrika Mashariki Kama mshirika, kwanza nae hakushinda ,aligalagazwa mbali mno na kijana yule mwanamziki, kauwa ,kateka watu kibao ,

Alafu Mungu alivyofundi Hana miaka 5 mbele uyu ,eisha kongoroka,

Ni kweli kalelewa tz , ila ulevi wa madaraka yanampeleka pabya, na amearibikiwa sana

Hakuna uchaguzi nje wa kwetu wa 2025 nimefuatilia kuliko wa Uganda
 
Kwa hotuba hii ya Rais Mseveni, ulitakiwa umshukuru sana badala ya kumlaumu. Alichokuwa anajaribu kusema hapa ni kwamba sisi tuna rasilimali ambazo zinatufanya kuonekana matajiri lakini hatuna maendeleo kwa sababu tunachangia sisi wenyewe kutokuwepo kwa maendeleo hayo, na kwamba Rais peke yake ndani ya nchi hatoshi kutufanya tuweze kupata maendeleo hata kama atakakaa madarakani kwa muda mrefu kiasi gani. Kwa ufupi, picha aliyokuwa anaitoa Rais Mseven ni kwamba Rais peke yake hatoshi kuleta maendeleo hata kama atakuwa ni mzuri namna gani, na kwa sisi ambao tuna Rais mpya sasa hivi, tunatakiwa sasa kuhakikisha tunampa ushirikiano unaotakiwa na usiokuwa wa kinafiki, ili mpaka kufikia kipindi atakaopokuwa anamaliza vipindi vyake tuweze kuwa tumefika angalau hata hatua ya kutembea, assuming sasa hivi tunatambaa. Sifa nyingi kwa Rais huku sehemu zingine tukiwa hatumpi ushirikiano unaotakiwa bali tunakuiwa tunamhujumu, hazitatusogeza sehemu. Rais Mseveni ameongea hoja za msingi sana na ninampongeza sana kwa hoja hizo alizozitoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…