Rais Museveni agoma kusaini Muswada wa sheria unaopinga Ushoga uliopitishwa na Bunge akitaka ufanyiwe marekebisho

Rais Museveni agoma kusaini Muswada wa sheria unaopinga Ushoga uliopitishwa na Bunge akitaka ufanyiwe marekebisho

Artifact Collector

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
6,617
Reaction score
10,205
President Yoweri Museveni of Uganda has refused to sign into law a controversial new bill against homosexuality that prescribes the death penalty in some cases, requesting that it should be amended.

Museveni’s decision was announced late on Thursday after a meeting of parliamentarians in his ruling party, almost all of whom support the bill approved by lawmakers last month.

The meeting resolved to return the bill to the national assembly “with proposals for its improvement”, a statement said.

A spokesman for the presidency said Museveni was not opposed to the punishments proposed in the bill, but wanted parliamentarians to look into “the issue of rehabilitation”.

“[Museveni] told the members that he had no objections to the punishments but on the issue of rehabilitation of the persons who have in the past been engaged in homosexuality but would like to live normal lives again,” spokesman Sandor Walusimbi said on Twitter.

“It was agreed that the bill goes back to parliament for the issues of rehabilitation to be looked at before he can sign it into law,” Walusimbi added.

Homosexuality is already illegal in the East African country under a colonial-era law criminalising sex acts “against the order of nature”. The punishment for that offence is life imprisonment.
Source Al jazeera english
 
Anayeweza kupinga ushoga ni Samia tu, hata Magufuli aligwaya

Screenshot_20230421-111157.png
 
Kwa hiyo kama sober house kwa wabwiaji wa Unga ama?

Kwa hiyo hukumu ya kifo hapana na watakao kubali kuacha ushoga na kurudi kwenye maisha ya kawaida sawa
 
Museveni kwenye Hill swala amesimamia anachokiamini sawa na Magufuli kwenye Corona
 
Museveni amesema anakubaliana na muswada huo, ila anadhani kabla ya kuwaua(death penalt), kuwe na option ya msaada kwa wenye nia ya kubadilika na kurud hali ya kawaida. Wasiwasi wangu huu ndo unaweza kuwa uchochoro wa mashoga kurud tena mtaani huko kampala etc, kuna sheria ukishatoa loop ya kutokea ndo umeumia, maana hyo loop itatumika kuendeleza yaleyale. Ni kama zile sheria zinazosema kosa flan ukifanya unaweza kufungwa au kulipwa fine au vyote kwa pamoja, sheria hizi huishia tu mtu kupigwa fine na anarud mtaani, ukitengeneza sheria iwe imejitosheleza ili kuwe na nidhamu uniform.
 
Nilifikiri ungesema wasiwasi wako ni wewe kuambukizwa ushoga.
Museveni amesema anakubaliana na muswada huo, ila anadhani kabla ya kuwaua(death penalt), kuwe na option ya msaada kwa wenye nia ya kubadilika na kurud hali ya kawaida. Wasiwasi wangu huu ndo unaweza kuwa uchochoro wa mashoga kurud tena mtaani huko kampala etc, kuna sheria ukishatoa loop ya kutokea ndo umeumia, maana hyo loop itatumika kuendeleza yaleyale. Ni kama zile sheria zinazosema kosa flan ukifanya unaweza kufungwa au kulipwa fine au vyote kwa pamoja, sheria hizi huishia tu mtu kupigwa fine na anarud mtaani, ukitengeneza sheria iwe imejitosheleza ili kuwe na nidhamu uniform.
 
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amekataa kutia saini mswaada wenye utata dhidi ya mashoga, ambao umezungumzia adhabu ya kifo katika baadhi ya kesi, na kutaka kuwa ni vyema ufanyiwe marekebisho.

Kwa mujibu wa shirika la habari la AP, uamuzi wa Museveni ulitangazwa Alhamisi jioni baada ya kikao cha wabunge wa chama chake tawala, ambao karibu wote waliunga mkono kuidhinishwa na wabunge mwezi uliopita.

Taarifa zimeongeza kusema kwamba wabunge hao wamekubaliana kuurejesha bungeni ili ufanyiwe marekebisho. Kwa mujibu wa video iliyorushwa na televisheni ya taifa ya UBC, Museveni anaonekana akipinga ushoga akiwa mji mkuu Kampala, akisema kwamba, “ Ulaya imepotea.

Wanataka sisi tupotee pia.” Museveni pia aliwasifu wabunge kwa kupitisha mswaada huo, ambao umezua ukosoaji mkubwa wa kimataifa.

Maoni yangu

Nchi za Magharibi zimekuwa zikitia presha kubwa sana kwa Museveni kutoidhinisha mswaada huo kuwa sheria kwani utakuwa na athari kubwa sana kwa kuwa una vipengele vinqvyokiuka haki za binadamu.

Hapa najiuliza, huenda huyo jamaa Museveni licha ya mbwembwe za kuupinga ushoga hadharani lakini huenda ameufyata mkia kwa kuamuru bunge lifute baadhi ya vipengere kabla ya kuusaini. Time will tell.
 
Hapa najiuliza, huenda huyo jamaa Museveni licha ya mbwembwe za kuupinga ushoga hadharani lakini huenda ameufyata mkia kwa kuamuru bunge lifute baadhi ya vipengere kabla ya kuusaini.
achana na vikwazo mzee
Tz yako haikutoa tamko tangu lile la 2018 , sasa inafukuza mwizi kimya kimya
 
Waondoe hicho kipengele cha adhabu ya kifo

Vingine viachwe kama vilivyo
 
duh aiseeee
Anataka maeneo wakazie ameyaona yako lelege amekaa na viongozi wa chama chake tawala kuwa kuna maeneo hiyo bill iko very weak kawarudishia kuwa watekebishe kabla kusaini
 
Kwa hiyo kama sober house kwa wabwiaji wa Unga ama?

Kwa hiyo hukumu ya kifo hapana na watakao kubali kuacha ushoga na kurudi kwenye maisha ya kawaida sawa
Sa sijui Uko sober house na wao watakua wana pewa dose kidogo kidgo ili wapunguze
 
Katika hali isiyotarajiwa, Rais wa Uganda, Yoweri Museven, amekwepa kusaini muswada wa sheria dhidi ya mashoga.

Muswada huo uliopitishwa kwa mihemko na Bunge la Uganda mnamo march mwaka huu, uligubikwa na kiwango kikubwa cha adhabu kali dhidi ya mashoga ikiwemo kifo.

Baada ya muswada kupelekwa kwa Rais ili upitishwe kuwa sheria, Museven ameamua kuukimbia na kuukacha.

Badala yake ameurudisha muswada bungeni na kuagiza kuondolewa kwa adhabu zilizowekwa na kushauri mashoga wapewe msaada wa kuachana na ushoga badala ya kufungwa jela.

Hatua hii inakuja baada ya Marekani na mataifa ya ulaya kumkemea Rais na kumuonya kuwa endapo angesaini sheria hiyo angekumbana na vikwazo vikali vya kiuchumi na kisiasa.

Kama Tanzania tuna lipi la kujifunza?
 

Attachments

  • Screenshot_20230421-213743.jpg
    Screenshot_20230421-213743.jpg
    73.4 KB · Views: 4
Back
Top Bottom