Sisyphus
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 4,062
- 5,741
Punguza kuangalia tamthiliaSijui wanalindaga Nini wkt drone tu inaweza ikafanya yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza kuangalia tamthiliaSijui wanalindaga Nini wkt drone tu inaweza ikafanya yake.
Hiyo drone iliishawahi kufanya yake wapi? Au unawalisha ujinga wajinga wenzio?Sijui wanalindaga Nini wkt drone tu inaweza ikafanya yake.
Niko nakulisha mavih mabichi wewe mke wangu mzuri.Hiyo drone iliishawahi kufanya yake wapi? Au unawalisha ujinga wajinga wenzio?
Ukiacha kuchungulia watu chooni,nami nitaacha.Punguza kuangalia tamthilia
Yani museveni anajifanya bepari kufadhili ujenzi wa shule Chato wakati uwanja wake wa ndege mchina anaumiliki muda wowote kwa kushindwa kulipa deni.
alilala gesti gani ? 😳Alipita bukoba juzi mchana,nadhani alilala mwanza
Yes, gari inalindwa balaaKumbe ni gari tu,yeye mwenyewe alipanda ndege.kafika Leo Tz
Hahahaa Page number ngapi Muheshimiwa?Kwani PGO inasemaje? Tuanzie hapo kwanza
Sio Tanzania Mpwa, ni serikali sikivu ya Bibi Tozo..na Tanzania tunatumia matrilion kununua ndege, halafu shule tunajengewa na kapuku Museveni, na shule nyingine tunajenga kwa mkopo wa World bank.
Duh yaani wajinga walishwe ujinga na mjinga mwenzao hii si hatariiiiiii kabisa.Hiyo drone iliishawahi kufanya yake wapi? Au unawalisha ujinga wajinga wenzio?
AsanteAnaitwa kyagulanyi
Madikteta huwa ni waoga sana..
Mkuu si angetoa mfano basi tukajua anajua. Hata kwenye hadithi za The Bold hajawahi kuandika drones kufanya yao!Duh yaani wajinga walishwe ujinga na mjinga mwenzao hii si hatariiiiiii kabisa.
Usiite mawazo ya wenzioo upuuzi, huenda mpuuzi ni weweNa Obama ni dikteta? Hii nchi ina watu wapuuzi sana