Rais Museveni ametumia gari lake kwenye ziara yake Tanzania?

Mbona katua na Uganda Airline mkuu ?
 
Anaiga marekani, raidi utembea na magari yake ambayo ufika kabla hajafika.
 
Wanasema kunguru mwoga ...

Hata hivyo labda hilo gari atalitumia baada ya yeye kuja na dreamliner la Air Uganda.
Anaogopa kupita angani huyo! Ila Africa tunashangaza sana yani kibabu kiko kwenye kiti tangu 1986 wakati sio nchi ya kifalme hata kimekandamiza demokrasia na hata mawazo mapya hakuna! Sioni mantiki ya kuwa na mtu yule yule miongo 3 what for? Hata 10 naona mingi walau 8 atoke yaje mawazo mapya
 
Wachina wameshachukua uwanja wa Ndege huko[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Akiingia madarakani 1986 alinukuriwa akisema tatizo la Afrika lilikuwa watawala waliokaa madarakani kupitiliza 😁😁
 
Akiingia madarakani 1986 alinukuriwa akisema tatizo la Afrika lilikuwa watawala waliokaa madarakani kupitiliza [emoji16][emoji16]
Hao ndio Babu zetu [emoji23][emoji23][emoji23] Huku wengine wakigawana fedha za Uviko na kuonyesha mapicha picha wakati Ukweli hakuna wanachofanya[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Corona effect, kifo cha utata cha magu na poisoning scandals haitoki nje na hapo.
 
Hao ndio Babu zetu [emoji23][emoji23][emoji23] Huku wengine wakigawana fedha za Uviko na kuonyesha mapicha picha wakati Ukweli hakuna wanachofanya[emoji125][emoji125][emoji125]

Hizi nchi zimechezewa sana kwa jina la uzalendo. Jiulize:

1. Kwanini mikataba ya nchi ni siri?
2. Kwanini ya Baraza la Mawaziri ni siri?
3. Kwanini kuapa kulinda na kutunza siri?
4. Kwanini mwendo ni siri, siri ... tu?

Kwani serikali ni ya nani hasa?
 
Mbona Queen Elizabeth bado anaongoza mpaka leo au kwa kuwa ni mzungu?!! Au tatizo lako ni Slavery Mentality??
 
Mbona Queen Elizabeth bado anaongoza mpaka leo au kwa kuwa ni mzungu?!! Au tatizo lako ni Slavery Mentality??
Hujasoma hapo nilipoandika kuwa 'sio nchi ya kifalme"

Na by the way kwa kukusaidia tu Malkia wa UK ni ceremonial leader..

Mtendaji mkuu wa serikali ni PM

Sasa Kaguta Museveni ni kofia zote kwa miaka 35 kawazima kabisa walioonekana kuwa na mawazo tofauti na yeye kama Kiiza Besigye na Robert Kyagulanyi.

Hajaishia hapo naona anatengeneza succession plan kwa kumuachia mwanae Muhoozi Kainerugaba
 
Mbona Queen Elizabeth bado anaongoza mpaka leo au kwa kuwa ni mzungu?!! Au tatizo lako ni Slavery Mentality??
Utawala wa kifalme na wakwetu ni tofauti ndio maana unaona hata huko UAE, Singapore bado wafalme wanaongoza hata Saudi ni hivyo Sisi tumeachana na hizo desturi ngoja wachukue viwanja vyetu vya Ndege na Mafuta ukiacha na mbuga za wanyama anyway Mchina ni Ndugu yetu kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…