Rais Museveni ametumia gari lake kwenye ziara yake Tanzania?

Hiyo ID yake inatosha kueleza kuwa ni mshamba na kilaza kama huyo dhalim

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mbona hata Obama alitumia gari zake
 
labda anakimbia airport yake akipitia hapo wachina watadai chao
 
Mkuu ebu tuletee picha tuone ilo gari lake, wengine sisi hatuna tv
 
Dikteta muoga, wale MAGAIDI waliopiga Kampala wanamnyima usingizi, bladefeken.
Hakuna magaidi uganda. Zile alilipua yeye mwenyewe ili apate sababu ya kuwabana wapinzani wake kwa kisingizio cha tishio la ugaidi
 
Ni ruksa tu wala si tatizo.. Maraisi wengi tu husafiri na magari Yao akiwepo raisi wa Marekani, muammar gadafi alikua akifanya hvo hata alipokua akienda ulaya, raisi wa uturuki, mfalme wa Saudi Arabia,malkia Elizabeth...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…