Rais Museveni amteua mwanaye kuwa Kamanda wa Kikosi Maalum cha Jeshi kinachomlinda

Rais Museveni amteua mwanaye kuwa Kamanda wa Kikosi Maalum cha Jeshi kinachomlinda

Rais Yoweri Museveni wa Uganda amemteua mwanae Luteni Jenereli Muhoozi kuwa mkuu wa kikosi cha kumlinda Rais.

Lut Gen Muhoozi ana sifa zote stahiki za kushikilia nafasi hiyo.

Chadema mnapaswa kujifunza kitu hapa, kinachoangaliwa kwenye teuzi ni sifa za mteuliwa na siyo siasa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Hata Gadafi alikuwa analindwa na wanae lakini walimkuta kwenye chamber za vyoo
 
Kumbeeeee! Ndio maana Wazungu wanavyotudharau sana eeee aiseee!
 
Museven asipokuwa making atajikuta yeye na mwanaye kipenzi Muhoozi wakiwa ICC kwa fatumah.
Hilo halina shaka na ndiyo maana unamuona yule Bob Wine haogopi risasi wala mizinga
 
Ati huyu Mzee anasema hakuna mganda yoyote mwenye akili ambaye anaweza kumkabidhi nchi - hivyo anaendelea.....hadi hapo atakapopatikana.
Aseme kuwa hadi isreli atakavyo muita
 
Mbona huyu mwanawe hana hata jina moja linalofanana na baba yake au kachukua majina ya ukoo wa mama yake?
 
Back
Top Bottom