Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu sio kiongozi wa kumsifia hata siku moja..
Ni mkandamizaji mkubwa Wa Demokrasia na kila siku kazi yake ni kukimbizana na wapinzani wake pale Uganda.
SanaaRais wa uganda amekuwa akishiriki shughuli za kilimo na uzalishaji ktk maeneo mbali mbali vijijini nchini uganda bila kujali cheo chake au utukufu wake,hapo chini anatoka kuchota maji ya kwenda kumwagilia mimeaView attachment 427334
Wananchi na nyie onesheni usanii msepeAnajiandaa kugombea tena awamu ijayo hata baada ya miaka 85 kama mugabe