Rais Museveni aonyesha mfano

Hivi ni kiongozi gani wa ccm aliyewahi kushiriki shughuli kama hizi hata kama ni kuigiza ukimuacha kinana?
 
Huyu sio kiongozi wa kumsifia hata siku moja..
Ni mkandamizaji mkubwa Wa Demokrasia na kila siku kazi yake ni kukimbizana na wapinzani wake pale Uganda.

Wewe demokrasia inakusaidia nini na ni kitu gani unawazidia hao wasio na demokrasia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…