Rais Museveni ashangaa kwamba inakuaje Mtu hajawahi shika Milioni kwa miaka zaidi ya 64 ya Uhuru?

Kumbe akili unazo mkuu lucas na sema uwa unajitoa ufahamu
Kauli hiyo ni ya dharau sana kwa wananchi wanaohangaika na kuteseka Juani wakitafuta mia mia .halafu yule anayeishi kwa kodi za hao wavuja jasho Juani anatoa kauli za dharau kiasi hicho. Mungu yupo na vyote vitabakia Duniani tu na hakuna atakaye pigiwa tena salute mbele za Mwenyezi Mungu. Kule matendo ndio yatakayowekwa katika mzani kwa ajili ya kupimwa na kulipwa kwa ajili ya matendo husika..
 
Kumbe wewe kunguni wa mama Abdul huwa unajua rais anaishi kwa kodi za wavuja jasho na sio kwa pesa zake.

Basi sasa ndio huwa tunakupinga ukileta zile ngojera zako za mama ametoa bilioni moja kujenga shule mara mama ametoa bilioni kadhaa kujenga daraja .

Hizo pesa huyo mama hana ni kodi za wavuja jasho.

Na hata pesa unazolipwa kufanyia ukunguni wa kusifia kila siku ni pesa za wavuja jasho.

Kunguni wote wa mama Abdul ni hopeless kabisa.
 
Kwa hiyo kama ni Kodi wewe ndio unaziratibi n kuzipanhia matumizi?

Umewahi ona nani anatoa Kodi Kwa hiari? Mbona huendi kujitolea kwenye miradi ?

Mwisho ukute hata Kodi yenyewe hutoi ila unabwatuka upuuzi hapa.
 
Back
Top Bottom