Rais Museveni ashangaa kwamba inakuaje Mtu hajawahi shika Milioni kwa miaka zaidi ya 64 ya Uhuru?

Rais Museveni ashangaa kwamba inakuaje Mtu hajawahi shika Milioni kwa miaka zaidi ya 64 ya Uhuru?

Ana roho mbaya sana huyu ni mfano wa viongozi wa kidikteta walioamua kufia madarakani
Naona ule uhasi aliyoutaka kufanya kiza mu7 kaamua kumchenjia swaiba wake
Maana kiza ndy alikuwa dr wa mu7 ...na mke wa kiza mwanzoni alikuwa mke wa mu7
Hawa walikuwa na ukaribu sana,lkn naona mwamba kamgeuka swaiba wake

Ova
 
Wanadhihirisha kauli ya kuwa hakuna urafiki wa kudumu
 
Kauli hiyo ni ya dharau sana kwa wananchi wanaohangaika na kuteseka Juani wakitafuta mia mia .halafu yule anayeishi kwa kodi za hao wavuja jasho Juani anatoa kauli za dharau kiasi hicho. Mungu yupo na vyote vitabakia Duniani tu na hakuna atakaye pigiwa tena salute mbele za Mwenyezi Mungu. Kule matendo ndio yatakayowekwa katika mzani kwa ajili ya kupimwa na kulipwa kwa ajili ya matendo husika..
Natamani nikuone live we mwuungwana na mwelewa mno
 
Yupo Malkia mmoja wa Ufaransa ambaye wakati wananchi wake wakilalamikia hali kwa jinsi ilivyokuwa mbaya na wakakosa hata pesa ya kununulia mikate, aliwashangaa na kusema "kama hakuna mikate si wale keki?"

Ile pesa ya kununulia mikate hawana, sembuse ya kununulia keki. Historia inatuambia kwamba mwishoni huyu Malika alinyongwa na wananchi wenye hasira. Siku zote watawala hawaoni matatizo yanayowasibu watawaliwa. Wao wakishiba hadi kutapika wakati watu wao wakitaabika kimaisha.
 
Back
Top Bottom