Rais wa Uganda Yoweri Museveni aliwafundisha wabunge jinsi ya kupiga risasi katika Taasisi ya Uongozi wa Taifa (NALI) iliyopo Kyankwanzi ambapo pia aliitumia fursa hiyo kusisitiza ulinzi wa taifa, nidhamu na mapambano dhidi ya rushwa.
Tukio hili lilikamilisha mafunzo ya wiki moja waliokuwa wanapewa wabunge wa chama tawala cha NRM ambapo sehemu kubwa ya mafunzo hayo yaliongozwa na Rais Museveni.
Tukio hili lilikamilisha mafunzo ya wiki moja waliokuwa wanapewa wabunge wa chama tawala cha NRM ambapo sehemu kubwa ya mafunzo hayo yaliongozwa na Rais Museveni.