Rais Museveni awafunza wabunge jinsi ya kutumia bunduki

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Rais wa Uganda Yoweri Museveni aliwafundisha wabunge jinsi ya kupiga risasi katika Taasisi ya Uongozi wa Taifa (NALI) iliyopo Kyankwanzi ambapo pia aliitumia fursa hiyo kusisitiza ulinzi wa taifa, nidhamu na mapambano dhidi ya rushwa.

Tukio hili lilikamilisha mafunzo ya wiki moja waliokuwa wanapewa wabunge wa chama tawala cha NRM ambapo sehemu kubwa ya mafunzo hayo yaliongozwa na Rais Museveni.

Your browser is not able to display this video.
 
Kesho tutarajie another tweet ya Kaenarugaba akimmadi M7 kama African sniper...🤣
 
Africa na mambo Yao watala. Wanyonge wamekula binyebwa peke yake mtaani.
Kazi ni kipimo cha utu
 
A blessing to Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…