Rais Museveni hapendi Tanzania ifungwe bora watoe draw

Rais Museveni hapendi Tanzania ifungwe bora watoe draw

yeto

Member
Joined
Aug 23, 2010
Posts
59
Reaction score
40
"I'm happy with a draw because I'm both a Ugandan and a Tanzanian, all my countries won."




Rais Museveni alisema katika mechi iliyopita bora draw kwani yeye ni raia wa nchi zote. Tunashukuru leo kutusupport tumeweza kwenda AFCON
 
Leo vibe la pale Taifa kufungwa halali yao,na hatujabebwa walizidiwa na wachezaji wa Tz walijitoa sana leo
 
To be honest jamaa wametufanyia Fair....

Ata goal la kwanza angalia to ile dive ya Onyango ni uongo uongo, ata Okwi akua na habari kama yuko uwanjan.... Mambo mengi tu walikua fair

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waganda tulikuwa tuwafunge kwao..le captain alikosa golden chance Na Ulimwengu pia
 
Wachezaji wa kutegemea mechi ya Jana walikuwa waganda venginyo tungepoteza tu.😂
 
Back
Top Bottom