#COVID19 Rais Museveni: Itakuwa ni 'uwendawazimu' kuendesha Uchaguzi wakati wa mlipuko wa virusi vya Corona

#COVID19 Rais Museveni: Itakuwa ni 'uwendawazimu' kuendesha Uchaguzi wakati wa mlipuko wa virusi vya Corona

huu wa october nao vipi?
Mimi binafsi naona lililo mbele yetu kwa sasa ni kugombania uhai wetu kwanza; hayo ya uchaguzi, vyama vifanye maridhiano vione tutasongaje mbele kama Taifa bila ya kuwakusanya watu kama walivyofanya Burundi. Nchi ni yeu sote, kuna ubaya gaani wa kuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa 2020 to 2025?
 
Mkuu acha kuamini huyu dictator, nilibahatika kuwa huko wiki mbili zulizopita waganda wanakufa hatari,na wanamlaani sana huyu jamaa,kuna wengine wanadai kuwa anawabambikia madereva wa Tanzania na Kenya ili kuficha ukweli wa janga nchini mwaka

Acha kabisa mkuu
Yuko vizuri. Nchi yake haina maambukizi makubwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Museven aliwai kusema kama wewe ndio unaandaa uchaguzi inakuwaje unashindwa ha ha ha ha ha jamaa kapata kitonga korona hadi iishe miaka kumi huko kwanza tushaanza kuambiwa tujifunze kuishi nayo kama mafua au maralia nayo yanaua hivi hivi au ajali zinakula maisha ya watu kuliko hata corona
 
Back
Top Bottom