Chato akakae kaburini kwa dikteta mwenzieRais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni anatarajiwa kuwasili Tanzania kwa ziara ya Kitaifa kuanzia Novemba 27, 2021, na atapokelewa na Rais Samia Suluhu Hassan
Mbali na Marais hao kufanya mazungumzo, pia watashiriki ufunguzi wa kongamano la biashara kati ya Tanzania na Uganda
Rais Museveni atatembelea Bandari ya Dar na kukagua mradi unaoendelea wa SGR. Vilevile, ataenda Wilayani Chato, Mkoani Geita ambapo ataikabidhi rasmi Serikali ya Tanzania Shule ya Msingi iliyojengwa kwa ufadhili wake
View attachment 2024364
Karibu rafikiRais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni anatarajiwa kuwasili Tanzania kwa ziara ya Kitaifa kuanzia Novemba 27, 2021, na atapokelewa na Rais Samia Suluhu Hassan
Mbali na Marais hao kufanya mazungumzo, pia watashiriki ufunguzi wa kongamano la biashara kati ya Tanzania na Uganda
Rais Museveni atatembelea Bandari ya Dar na kukagua mradi unaoendelea wa SGR. Vilevile, ataenda Wilayani Chato, Mkoani Geita ambapo ataikabidhi rasmi Serikali ya Tanzania Shule ya Msingi iliyojengwa kwa ufadhili wake
View attachment 2024364
Museveni anajua kulipa shukrani kwa Tanzania tumesaidia nchi kibao na kuweka viongozi kuanzia Afrika kusini , Zimbabwe ,Rwanda ,kongo, Namibia, Msumbiji,nk lakini huwezi amini watanzania tunaonekana mabwege tu na hatujielewi nchi pekee zenye shukrani na Tanzania Ni Burundi na Uganda tu Very sadKaribu nyumbani kaguta…
Africa kuna vichekesho..huyo aliyetoa msaada wa shule,kwake kuna wanafunzi wanakaa chini
Museveni anajua kulipa shukrani kwa Tanzania tumesaidia nchi kibao na kuweka viongozi kuanzia Afrika kusini , Zimbabwe ,Rwanda ,kongo, Namibia, Msumbiji,nk lakini huwezi amini watanzania tunaonekana mabwege tu na hatujielewi nchi pekee zenye shukrani na Tanzania Ni Burundi na Uganda tu Very sad
Chadema hivi hamjatambua kuwa hii mbinu yenu yq kizamani haiwezifanya kazi?Chadema wao utawaonea ,waliosambaza uongo huo na chadema kuunga tera ni wana CCM wenzenu wakiongozwa na team msoga ,na makamba ambao tumekuja gundua hawakuwa na hawajawai kumpenda magufuli tangia aingie madarakani, na ukute ata watu waliookotwa baharini kwenye viroba ni wao ndo wali plan ili wananchi mchukie kiongozi wao, ni swala la muda tu tutajua kilakitu.
Akili kichwani mwako hapo
Litumbukie ziwaniRais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni anatarajiwa kuwasili Tanzania kwa ziara ya Kitaifa kuanzia Novemba 27, 2021, na atapokelewa na Rais Samia Suluhu Hassan
Mbali na Marais hao kufanya mazungumzo, pia watashiriki ufunguzi wa kongamano la biashara kati ya Tanzania na Uganda
Rais Museveni atatembelea Bandari ya Dar na kukagua mradi unaoendelea wa SGR. Vilevile, ataenda Wilayani Chato, Mkoani Geita ambapo ataikabidhi rasmi Serikali ya Tanzania Shule ya Msingi iliyojengwa kwa ufadhili wake
View attachment 2024364
Sababu ni hii kuomba Tanzania imwombe china isichukuwe Port yaoRais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni anatarajiwa kuwasili Tanzania kwa ziara ya Kitaifa kuanzia Novemba 27, 2021, na atapokelewa na Rais Samia Suluhu Hassan
Mbali na Marais hao kufanya mazungumzo, pia watashiriki ufunguzi wa kongamano la biashara kati ya Tanzania na Uganda
Rais Museveni atatembelea Bandari ya Dar na kukagua mradi unaoendelea wa SGR. Vilevile, ataenda Wilayani Chato, Mkoani Geita ambapo ataikabidhi rasmi Serikali ya Tanzania Shule ya Msingi iliyojengwa kwa ufadhili wake
View attachment 2024364
Wakati hatujiamini tuseme ya nini?..taarifa ya serikali haielezi Rais Museveni atapokelewa Dsm au Dodoma.
..Tanzania tuna tatizo kubwa la kufanya kazi kwa kulipua-lipua tu.
Museveni amejenga shule nyingi ukanda huu tofauti na Marais wa nchi nyingine za ukanda huu wanaoshindaga Tz, Kagera amejenga shule mbili kamachumu na Muhutwe. Ya Muhutwe inaitwa Nyailigamba ina O level na A level [emoji116]Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni anatarajiwa kuwasili Tanzania kwa ziara ya Kitaifa kuanzia Novemba 27, 2021, na atapokelewa na Rais Samia Suluhu Hassan
Mbali na Marais hao kufanya mazungumzo, pia watashiriki ufunguzi wa kongamano la biashara kati ya Tanzania na Uganda
Rais Museveni atatembelea Bandari ya Dar na kukagua mradi unaoendelea wa SGR. Vilevile, ataenda Wilayani Chato, Mkoani Geita ambapo ataikabidhi rasmi Serikali ya Tanzania Shule ya Msingi iliyojengwa kwa ufadhili wake
View attachment 2024364
Atavuna alichokipanda maana hali hiyo soon itatukuta na siye
Hivi unajua Uganda wana upungufu wa shule kiasi gani?? Viongozi wa Africa ni matabula rasaSi chadema wanasema Magufuli alifunga nchi na kuharibu mahusiano na majirani?
Kumbe majirani hao hao walitujengea hadi shule!
Naona designer wa hiyo shule walimtoa Uganda maana karibia 80% ya shule za huko zinafananaMuseveni amejenga shule nyingi ukanda huu tofauti na Marais wa nchi nyingine za ukanda huu wanaoshindaga Tz, Kagera amejenga shule mbili kamachumu na Muhutwe. Ya Muhutwe inaitwa Nyailigamba ina O level na A level [emoji116]View attachment 2024446
Naona symptoms za legacy zimegoma kabisa kukutoka.Ukiondoa madikteta waongoza nchi kuna madikteta waongoza vyama
Karibu Museveni rafiki wa kweli wa Tanzania ambaye hufichi hata siku moja kuongelea Tanzania kukufikisha ulipo na Uganda ilipo kuwa ulipewa dola elfu 50 na Tanzania kupitia Rashid Kawawa uanzishe Vita ya kumtimua dikteta Idd Amin ambaye alikuwa akiua waganda Kama ngedere
Kabisa.Karibu Museveni rafiki wa kweli wa Tanzania ambaye hufichi hata siku moja kuongelea Tanzania kukufikisha ulipo na Uganda ilipo kuwa ulipewa dola elfu 50 na Tanzania kupitia Rashid Kawawa uanzishe Vita ya kumtimua dikteta Idd Amin ambaye alikuwa akiua waganda Kama ngedere
Asante kwa waganda kulipa fadhili
Museveni thank you
Kwa kujali na kuheshimu watanzania .Wengi tumewasaidia ila baada ya kutoka kimaisha wanatuona watanzania mabwege tusio na akili na tusiojielewa
Tunashukuru Museveni kwa kurudisha shukrani.Mungu akubariki
Yeah itakuwa.Naona designer wa hiyo shule walimtoa Uganda maana karibia 80% ya shule za huko zinafanana
Wewe ni mpuuzi sanaKaribu Museveni rafiki wa kweli wa Tanzania ambaye hufichi hata siku moja kuongelea Tanzania kukufikisha ulipo na Uganda ilipo kuwa ulipewa dola elfu 50 na Tanzania kupitia Rashid Kawawa uanzishe Vita ya kumtimua dikteta Idd Amin ambaye alikuwa akiua waganda Kama ngedere
Asante kwa waganda kulipa fadhili
Museveni thank you
Kwa kujali na kuheshimu watanzania .Wengi tumewasaidia ila baada ya kutoka kimaisha wanatuona watanzania mabwege tusio na akili na tusiojielewa
Tunashukuru Museveni kwa kurudisha shukrani.Mungu akubariki
Museveni ana shukrani Sana nchi zingine hawana nje ya Uganda nchi nyingine yenye shukrani Ni Burundi tu ndi maana hata Raisi Samia aliomba watupe walimu wa kifaransaMuseveni amejenga shule nyingi ukanda huu tofauti na Marais wa nchi nyingine za ukanda huu wanaoshindaga Tz, Kagera amejenga shule mbili kamachumu na Muhutwe. Ya Muhutwe inaitwa Nyailigamba ina O level na A level [emoji116]View attachment 2024446