Rais Museveni kufanya ziara ya kikazi Tanzania. Atakabidhi Shule iliyojengwa kwa ufadhili wake Wilayani Chato

Sgr inamuhusu nini?
Itarahisisha sana mizigo ya uganda ikifika mwanza na kuvuka kwa Meli hadi Kampala! Ndo maana inamhusu sana! Na kuna baadhi ya watu kama akina Zitto walilazimisha SGR iende kigoma huko porini then ije mwanza! That will never happen!
 
Umenena vyema mkuu
 
Mtoa taarifa ungeweka angalau mpangilio day to day.sasa umejumlisha siku 3 bila kueleweka matukio kila tarehe.
 
Si chadema wanasema Magufuli alifunga nchi na kuharibu mahusiano na majirani?
Kumbe majirani hao hao walitujengea hadi shule!
Acha kumuota marehemu amka chapa mwendo
 
Itarahisisha sana mizigo ya uganda ikifika mwanza na kuvuka kwa Meli hadi Kampala! Ndo maana inamhusu sana! Na kuna baadhi ya watu kama akina Zitto walilazimisha SGR iende kigoma huko porini then ije mwanza! That will never happen!
Si walisema mizigo ya uganda itashukia tanga?
Sasa tanga kuna sgr
 
Ahsante kwa taarifa, ndiyo maana naona vibendera vya Uganda vimetapakaa...
 
Wachina siyo watu wa mchezo mchezo
na ndio awamu hii inataka tuwape bandari ili sisi na wanetu tuwe watumwa.

Ila wao watawala na vizazi vyao wakibakia kula pacenti.
 
Vumilia mkuu hiyo ndiyo ccm mliyo itaka wenyewe
 
Back
Top Bottom