Rais Museveni wa Uganda akipigiwa magoti na wazee huku akitoa pesa kwenye bahasha za khaki

Rais Museveni wa Uganda akipigiwa magoti na wazee huku akitoa pesa kwenye bahasha za khaki

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Rais Yoweri Kaguta Museven wa Uganda akiwa ameketi huku wazee wakimpigia magoti na kupewa chochote kwenye bahasha ya kaki.

Ikumbukwe kuwa uchaguzi nchini Uganda unatarajiwa kufanyika mwakani February 9, 2021. Kiongozi huyo wa taifa la Uganda ameongoza Uganda kwa takribani ya miaka 34 hadi sasa, hata hivyo anatajwa kugombea mhula mwingine mwaka kesho.

 
Waafrica huwa tunavunga sana kulia lia kabla ya uchaguzi (kuhusu vyama tawala) ila uchaguzi ukifika tunadanganywa kama watoto wadogo kabisa[emoji57][emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kungekua na miradi mikubwa ya serikali iliyozalisha ajira na watoto wa wazee hawa kuwa na kipato wasinge dhalilika namna hii
 
Mwacheni awape zawadi WANYONGE wenzetu,mbona mnanongwa?
 
20191229_164911.jpg


Muzee anasaini kukubali😅
 
Back
Top Bottom