Rais Mwinyi: Anayehoji pesa zote za harusi ya mwanangu nimepata wapi aoe na yeye tutamchangia

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Rais Mwinyi amjibu aliyehoji kapata wapi hela za kufanya harusi ya kifahali hivyo. Ila hili nalo lilikuwa jambo la kuaddress kwenye Mkutano wa CCM, au ndio kiki apate kuongelewa kipindi hiki tunapoeleka kwenye uchaguzi mkuu 2025?


Pia soma: Harusi ya kuolewa Binti wa Rais Hussein Mwinyi

Yuko mmoja juzi nimemsikia kwenye clip anaingilia harusi ya mwanangu. Nimefanya harusi ya mwanangu, mimi nina wapenzi wengi, wamenichangia nimefanya harusi nzuri, anahoji huyu pes azote hizo kapata wapi!

Mimi namwambia na wewe oa nitakuchangia!


Your browser is not able to display this video.

 
Ni jibu zuri amewatoa watu wasiwasi kuhusu matumizi ya fedha za umma kwamba amechangiwa kama utamaduni wa Kitanzania ulivyo.
 
Kumbe na yeye hana busara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…