Rais Mwinyi: Anayehoji pesa zote za harusi ya mwanangu nimepata wapi aoe na yeye tutamchangia

Rais Mwinyi: Anayehoji pesa zote za harusi ya mwanangu nimepata wapi aoe na yeye tutamchangia

Wafanyabiashara hujipendekeza hapo sana tuuuiu..mmmbooo plys mawaziri bara na ndugu marafiki zake....plus familia
 
Kwanza umaskini ni relative term. Ila hata kwa ujumla wake bado wapo maraisi maskini huko duniani na hata Afrika. Mtafute huyu hapa aliyewahi kuwa raisi wa Uruguay.
Ingawa wapo wengine wengi pia

Kumbe hata Afrika wapo
 
Jose

Mujica alishastaafu,kama ulivyosena ni relative term ika hakuna masukini haoo kwa kutumia viwangi vya africa
 
Jose

Mujica alishastaafu,kama ulivyosena ni relative term ika hakuna masukini haoo kwa kutumia viwangi vya africa
Angalia utajiri wa hao alafu linganisha na utajiri wa Paul Kagame, Uhuru Kenyata, Yoweri Museveni, William Ruto n.k.
 
Angalia utajiri wa hao alafu linganisha na utajiri wa Paul Kagame, Uhuru Kenyata, Yoweri Museveni, William Ruto n.k.
Usiamini Mitandao kwa kila kitu,we jua hajuna mfalme au Rais masikini duniani
 
Unahoji mtu ambae yuko kwny mirija ya utajiri toka mdogo?
Hapa umeongea ukweli,tatizo la sisi akina pangu pakavu ni roho mbaya za kutu,unatafuta mali unakula zote halafu unawaambia watoto nao watafute za kwao. Lakini waliokulia kwenye mirija ya pesa hawana kelele
 
Dongo hilo lazima limemuingia aliye hoji 😄

Ova
 
Back
Top Bottom