PreGE2025 Rais Mwinyi awatembelea wagonjwa kwenye hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mjini Lumumba

PreGE2025 Rais Mwinyi awatembelea wagonjwa kwenye hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mjini Lumumba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,

Naona trip za kuwatembelea wagonjwa zimekuwa nyingi zimekuwa nyingi kipindi hiki.

Kuna nini kwani? Au ndo maandalizi ya Uchaguzi ?

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amewatembelea wagonjwa na kuwafariji katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mjini Lumumba, leo Aprili 01, 2025.

Wagonjwa waliotembelewa ni Bi Arafa Mohamed Said na Kanali Mstaafu Mzee Masoud Khamis Juma.

 
Back
Top Bottom