Rais Mwinyi hana "chawa" wa kuwajibu ACT Wazalendo? Kama Rais alitakiwa kuwa last line of defence! Na wapinzani kazi yao kusutana

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Namshauri Mwinyi awatumie mawaziri wa kisekta kuwajibu ACT, yeye awe mtu wa mwisho in case wana-fail.

Kama ikashindikana, atumie chama, kwa kuwa wanaompa changamoto, wanampa kwa kofia ya Siasa, wanaotumia kofia ya Siasa, wajibu kisiasa, ukiwajibu kitaalamu, ujumbe huwa haupenyi sawasawa.

Na pia, wanamvuta katika mchezo wanaoupenda, mchezo wa kurushiana maneno, akijaa, basi, marehemu (upinzani) atapiga chafya.

Wasalaam, kwako Chaaz Hillary, Mzee wa Lachaazi, keep the president's line of guard.
 
Acha ujinga wewe

Hata Nyerere alikuwa anamjibu moja kwa moja Nduli Idd Amin Dada

ACT Wazalendo ina makamu wa kwanza wa Rais.wa.SMZ so lazima ajiniwe
 
Namshauri Mwinyi awatumie mawaziri wa kisekta kuwajibu ACT, yeye awe mtu wa mwisho in case wana-fail.

Kama ikashindikana, atumie chama, kwa kuwa wanaompa changamoto, wanampa kwa kofia ya Siasa, wanaotumia kofia ya Siasa, wajibu kisiasa, ukiwajibu kitaalamu, ujumbe huwa haupenyi sawasawa.

Na pia, wanamvuta katika mchezo wanaoupenda, mchezo wa kurushiana maneno, akijaa, basi, marehemu (upinzani) atapiga chafya.

Wasalaam, kwako Chaaz Hillary, Mzee wa Lachaazi, keep the president's line of guard.
hakuna mtu mwrnye uwezo wa kumjibu kiongozi wa act zenj
 
Tuko Bakhmuti hapa mapigano ni makali sana, yaani tunajuta kuunda Legion kuja hapa kupigana upande wa Ukraine. Dah!
 
Namshauri Mwinyi awatumie mawaziri wa kisekta kuwajibu ACT, yeye awe mtu wa mwisho in case wana-fail.

Kama ikashindikana, atumie chama, kwa kuwa wanaompa changamoto, wanampa kwa kofia ya Siasa, wanaotumia kofia ya Siasa, wajibu kisiasa, ukiwajibu kitaalamu, ujumbe huwa haupenyi sawasawa.

Na pia, wanamvuta katika mchezo wanaoupenda, mchezo wa kurushiana maneno, akijaa, basi, marehemu (upinzani) atapiga chafya.

Wasalaam, kwako Chaaz Hillary, Mzee wa Lachaazi, keep the president's line of guard.
ACT na CCM ni ndugu hawana tatizo, ndugu wakigombana chukua jembe ukalime
 
Back
Top Bottom