GE2025 Rais Mwinyi: Niko Tayari kuheshimu maridhiano na kufanya kazi na upinzani

GE2025 Rais Mwinyi: Niko Tayari kuheshimu maridhiano na kufanya kazi na upinzani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hakunidanganya mtu yeyote ila nimefanya mchanganuo mimi mwenyewe. Mfano uchaguzi huu wa 2025 upinzani wameshindwa vibaya sana sana (inaonekana CCM wameiba kuliko chaguzi zote) ila wamekuwa kimya wakisubiri ving'ora na teuzi.
Uliwahi kumsikia Ali Karume alisema nini kuhusu ushindi wa CCM Zanzibar?
 
Back
Top Bottom