Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amevunja ukimya kuhusu mazungumzo yanayoendelea baina ya chama chake na ACT Wazalendo kuhusu Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK).
Mara kadhaa viongozi wa ACT Wazalendo ndiyo wamekuwa wakizungumza kuhusu mazungumzo yanayoendelea baina ya pande hizo mbili lakini CCM kimemekuwa na ugumu kuzungumzia suala hilo.
Soma Pia: ACT-Wazalendo: Maridhiano ya funika kombe tunayakataa, hatutatumika
Hata hivyo, Dk Mwinyi amewataka viongozi na wanachama wa chama hicho kutokuwa na wasiwasi na mazungumzo hayo yanayoendelea kwani chama chao (CCM) kitaweka mbele masilahi yake na ya nchi kwa ujumla.