Rais Ali H. Mwinyi kama unavyojua Zanzibar ni nchi ndani ya Muungano wa Tanzania lakini kwenye masuala ya afya kila upande una wizara yake. Sasa kwa kuwa wakazi wengi (Majority) yao tunaoishi Zanzibar na Pemba ni Waislamu na huu ni Mwezi Mtukufu Wa Ramadhan.
Ombi letu kwako ni kuwa Wazinzibari wengi huwa wanaenda Mji Wetu Mtakatifu Wa Makkah kwa ibada Ya Umraa. Baada ya miezi 3 ni Hijja, yaani mwenye uwezo anasafiri kwenda kuhiji. Na ni Nguzo ya 5 katika Uislamu.
Sasa ombi lenyewe ni kuwa kwa sasa nchi yoyote isiyokuwa na utaratibu wa kuchanja (vaccination) HURUHUSIWI KUINGIA HUKO. Kwa kuwa wizara yetu ya Afya ni huru, Waruhusu kuingiza chanjo ya corona COVID 19 huku visiwani na yule anayetaka, achanje ili tuweze kwenda kufanya hizi ibada Takatifu kwetu.
Tunaomba utafakari.