This man is the President tanzania missed. JPM angewagomea wahuni na kuendelea na msimamo wake wa kumteua huyu kuwa Mgombea Mwenza.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema ana matumaini makubwa kuhusu mafanikio ya mchakato wa maridhiano kutokana na dhamira ya Wananchi ya kuona amani, umoja na mshikamano vinaendelea kudumu Nchini.
Dkt. Mwinyi amesema moja ya sababu zinazompa matumaini ni kuona kuwa Wananchi wengi wa Zanzibar na Tanzania Bara wanaunga mkono maridhiano na wanathamini utulivu wa kisiasa kwa ajili ya maendeleo ya Taifa.“Sababu nyingine inayonipa matumaini ni kubaini kuwa wananchi wengi wa Zanzibar na Tanzania Bara wanataka maridhiano na ni Waumini wa amani, umoja na mshikamano
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema ana matumaini makubwa kuhusu mafanikio ya mchakato wa maridhiano kutokana na dhamira ya Wananchi ya kuona amani, umoja na mshikamano vinaendelea kudumu Nchini.

Maridhiano ya nini? Mi sijaelewa kabisa.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema ana matumaini makubwa kuhusu mafanikio ya mchakato wa maridhiano kutokana na dhamira ya Wananchi ya kuona amani, umoja na mshikamano vinaendelea kudumu Nchini.
Dkt. Mwinyi amesema moja ya sababu zinazompa matumaini ni kuona kuwa Wananchi wengi wa Zanzibar na Tanzania Bara wanaunga mkono maridhiano na wanathamini utulivu wa kisiasa kwa ajili ya maendeleo ya Taifa.“Sababu nyingine inayonipa matumaini ni kubaini kuwa wananchi wengi wa Zanzibar na Tanzania Bara wanataka maridhiano na ni Waumini wa amani, umoja na mshikamano
Hii tathmini ameitoa wapi?Wananchi wengi wa Zanzibar na Tanzania Bara wanaunga mkono maridhiano
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema ana matumaini makubwa kuhusu mafanikio ya mchakato wa maridhiano kutokana na dhamira ya Wananchi ya kuona amani, umoja na mshikamano vinaendelea kudumu Nchini.
Dkt. Mwinyi amesema moja ya sababu zinazompa matumaini ni kuona kuwa Wananchi wengi wa Zanzibar na Tanzania Bara wanaunga mkono maridhiano na wanathamini utulivu wa kisiasa kwa ajili ya maendeleo ya Taifa.“Sababu nyingine inayonipa matumaini ni kubaini kuwa wananchi wengi wa Zanzibar na Tanzania Bara wanataka maridhiano na ni Waumini wa amani, umoja na mshikamano
Tunataka Haki, penye Haki hakuna maridhiano.

Maridhiano bila kukubali kosa wala kuomba radhi kwanza , hayo si maridhiano. CCM ni zaidi ya cobra na vinyongaMaridhiano ya nini? Mi sijaelewa kabisa.
Inasema maridhiano sio udhaifuEh hotuba ya Rais wetu inasemaje?