PreGE2025 Rais na watawala wezanko kutoka CCM, sauti ya viongozi wa Dini ni sauti ya Mungu

PreGE2025 Rais na watawala wezanko kutoka CCM, sauti ya viongozi wa Dini ni sauti ya Mungu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
NIMEAMBIWA na mizimu ya kwetu kyaibumba niwambie yakuwa viongozi wa Dini hawaongei wakiwa KWENYE MILANGO ya Gest house Bali wanaongea wakiwa KWENYE Madhabau ambayo hata wao watawala hawawezi Ikanyaga Madhabau bila ruhusa ya viongozi wa Dini.
Mh Rais na watawala WENZAKO kutoka chama Cha mapinduzi, sauti ya viongozi wa Dini ni sauti ya Mungu na kwa Dunia ya Leo hatuwezi ipuuza kamwe

Viongozi wa kanisa katoliki walitoa waraka wao dhidi ya uchaguzi mkuu,

Ukiingia kwenye MITANDAO kila uchwao wakipata plateform wanakusihii umsikilize sauti za watu wako wanao taka mabadiliko ya Sheria za uchaguzi Mh Rais
Tuliwasilikia katoliki, tumemsikia na Leo Askofu wakati wa kusimikwa kwa Askofu mpya wa Jimbo la iringa anasisitiza usikilize sauti za wanao taka mabadiliko

Tumemsikia Baba Ta Bagonza amenena sana kila apatapo nafasi
Tumemsikiliza mchungaji KIMARO alielezea UTAJIRI wa Amani tuliyo nayo lakini anasema tuna umasikini wa Haki.

Viongozi wa Dini ambao wako kimnya ni Bwakwatwa yaani Bakwata Hawa najua hawawezi toa msimamo WOWOTE maana ni tawi la watawala na wadhani wakiristu kutoa tamko ni kumuhujumu Rais kwa kuwa ni mwisilamunmwenzao

Mh Rais SISI vijana wa Tanzania tunakupenda tunaomba tupewe haki ya kuchagua viongozi tunao wataka sisi na sio kuchaguliwa na mfumo

Mh Rais Madhabau wanazo zitumia viongozi wa Dini kukupa taarifa za Nini kifanyike kwenye uchaguzi mkuu mbele ya madhabao sio MILANGO ya Gest pale heshimu viongozi wa Mungu
Watu wamekana nafsi zao kwa Ajili ya kumtumikia Mungu hawana la kupoteza zaidi ya kutafta ufalme wa mbingu heshimu kauli zao hacha Kujifanya jeuri maana madhira ya kiburi mbele za Mungu ni pigo kwenu kwa watawala nahitimisha kwa kumtakia pumziko jema Hayati John Pombe Magufuli kama kweli yupo mbinguni ila kama hayupo hapo popotte alipo APATE anachokistaili Ameen.
Kijana WAKO sifi leo
Katikati ya usingizi nimeamshwa nikupe usia
Madhabauni sio gest house .
 
Back
Top Bottom